Hata kama ni kweli hamna wapinzani wakuwepa nchi, tatizo la nchi hii liko pale pale CCM inakwamisha maendeleo ya taifa hili kwa kushindwa kujenga taasisi imara za uongozi, ni ngumu sana kupata maendeleo endelevu bila kuwa na taasisi imara. We can't relay on a strongman!! Tunahitaji taasisi imara zilizopewa nguvu kikatiba na sheria. Sio wao tu wa Ku define fate ya nchi hii!Hakuna kitu kama hicho, na hapa hili tulilizungumza
US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kama ni kweli US/EU walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kufuatia kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa ku over stay?, kufuatia JPM anavyotetea rasilimali za nchi yetu tusiendelee kunyonywa, kufisadiwa...www.jamiiforums.com
Tatizo kwa upinzani wa Tanzania, hata kama ni kweli CCM ime bweteka kutokana na overstays for too much lakini kwa Tanzania kuna wapinzani gani wa kustahili kupewa nchi?.
P