Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Hakuna kitu kama hicho, na hapa hili tulilizungumza

Tatizo kwa upinzani wa Tanzania, hata kama ni kweli CCM ime bweteka kutokana na overstays for too much lakini kwa Tanzania kuna wapinzani gani wa kustahili kupewa nchi?.
P
Hata kama ni kweli hamna wapinzani wakuwepa nchi, tatizo la nchi hii liko pale pale CCM inakwamisha maendeleo ya taifa hili kwa kushindwa kujenga taasisi imara za uongozi, ni ngumu sana kupata maendeleo endelevu bila kuwa na taasisi imara. We can't relay on a strongman!! Tunahitaji taasisi imara zilizopewa nguvu kikatiba na sheria. Sio wao tu wa Ku define fate ya nchi hii!
 
Una roho ya kiroboto. Wewe ni kati ya vijana wasio na dila mtaani. Hujawahi ona mambo yalivyo huko nje ya nchi yako.
 
Acha propaganda za kitoto ambazo malengo yake ni kuwaokota wasio na uelewa mkubwa wa masuala ya kisiasa!

By the way, historia yako hapa Jamiiforums inaonyesha hujawahi kuwa CCM!

Kwani hutaki Rais Magufuli aondolewe? Wewe ni mpinzani wa aina gani asiyetaka Rais Magufuli aondolewe madarakani?

Tujenge hoja zenye nguvu za hoja na sio kujivita UCCM ili tu ionekane eti wana CCM wanampinga Rais Magufuli! Hii ni kujipa matumaini ambayo hayapo lakini kibaya zaidi ni kuwapotezea muda wale wajinga wanaodhani ulichokiandika ni kweli!
Kwa hyo we kenge unajiona ww ndo original.Njaa tu huna lolote
 
Acheni kuhofia sana. Mimi naishi USA, najua sababu kwa nini hili linaweza tokea. Lakini sababu sitaisema sasa hivi kutokana na kwamba bado haijawa official.

Manake USA govt inafikiria kuiweka Tanzania katika nchi hizo, lakini bado hilo halijafanyika na INAWEZEKANA LISIFANYIKE. Kama likifanyika officially, tutakutana tena na nitasema sababu.

NB: Nimetoa sababu. Please fuatilia thread utaona sababu hapo chini. Asanteni sana.
 
Hata wakimuondoa huyu Rais,je watanzania wengi watafurahi au watachukizwa?
Sijui kwa walioondolewa ajirani wakiwa wamebakiza miaka michache wastaafu kama watafurahi,vilevile ndugu wa waliopotea mfano Azory na Saa8 kama nao watafurahia,bado wale waliomaliza vyuo toka 2015 na hawana ajira kama watafurahi,sijui.
Ila kama hufaidiki na chochote,kwani akiondolewa utapungukiwa nini?
 
Ushoga siyo sababu na haiwezi kuwa sababu hata siku moja, sababu kuu ya vikwazo ni unyanyasaji wa serikali ya ccm kwa wapinzani hasa hii tabia mbovu ya kuwabambikia kesi nyingi
Mbona sababu wameelezea hapo wala hawajaongelea hayo unayosema wewe
 
Waache watufungie,nani anataka kwenda huko
Hizo ni hasira tu baada ya sera za ushoga kukataliwa,watarudi kivingine wakikwama na ubeberu wao
Sera ya ushoga imekataliwa lini na zaidi ya matamko kimefanyika kipi ??.. msitafute sababu just deal with your own demons
 
A senior Trump administration official said that countries that failed to comply with security requirements, including biometrics, information-sharing and counter-terrorism measures, faced the risk of limitations on U.S. immigration.
Nafikiri tatizo letu labda ni hili la kumeet security requirements hasa hili la Biometrics ambalo ndo sasa watu wameshazimiwa nafikiri wataondoa kikwazo tukimaliza kujisajili kwa alama za vidole
 
Hawana wanachopata toka Tanzania ndiyo maana.. hayo mengine Ni danadana tu.Miradi yote mmewapa wachina na waturuki mnategemea nn
 
Yaani Marekani sijui inajionaje yani, akitaka kukukomoa ana kuwekea vikwazo

Ushoga kwetu ni mwiko tena bora wawape mashoga wa Tanzania Visa wakaishi Marekani, hali ni mbaya mtaani watoto wa shule za msingi wana lawitiana kwenye vyoo vya shule huku mashuleni, tusichukulie poa kabisa... Miaka ishirini ijayo sijui hali itakuwaje
Mbona mnachota na uongo wa CCM namna hii? Kuna mdau kauliza hapo juu mbona Uganda na Zambia ndio wana sheria ngumu kuliko kwetu za ushoga na hawajaguswa iweje sie? Tatizo CCM inapenda kuficha mambo yake kwa njia za uongo uongo.
Sasa endeleeni na uongo huku tunaumia na kuteketea kama taifa. Zimbabwe wanasota kwa sababu ya kuzuia ushoga?
 
Wacha waweke kwanza sina America dreams ,najua hii itawauma sana viongozi wa siasa, halafu trump hao wenye hilo daraja la Zanzibar to Dar warejeshe na daraja lao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤷🏼‍♂️
Please
Please
 
Watanzania acheni ujinga katika katazo lao hilo hakuna mahali walipo andika eti kwa sababu ya uminywaji wa democrasia ila walichogusia zaidi katika mambo ya kiusalama zaidi kwenye ugaidi.tunachopaswa kufanya ni kuanza kuwa makini kwa sisi Wenyewe dhidi ya hawa magaidi na kuwareport mahali husika ili waweze kukomeshwa na hali irudi kuwa shwari

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo siasa mzeee wewe utaona hivi na wenzio wanaona vile siana Ni mchezo mchafu hawawezi kuweka yote wazi ila mmi nasema kabisa chanzo cio ushoga Wala ugahid chanzo kipo tu ila kwakuwa Ni siasa lazima habari ipindepinde

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imagine Jana Mh Rais amewaambia mabalozi uchaguzi wa serikali za mitaa ulikua huru na wa haki.


Sasa nimeamua kuto kiamini chochote anacho ongea.


Tulichagua kiongozi wa kuijenga chato, wakati tulihitaji kiongozi wa kuijenga Tanzania kama.nchi huru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niwape sababu ninayoijua mimi. Kuna waTz wengi sana wanatakiwa kurudishwa Tz (kuwa deported) from USA. Kwa miaka mingi, ubalozi wa Tz umekuwa unagoma kushirikiana na US govt kurudisha hao watu. Manake ubalozi unakataa kuwapa travel document nk sababu bila hizo hauwezi safirishwa na kurudishwa kwenu. Wanataka kuibana serikali ya Tz ili isaidie kuwarudisha hao watu bongo. Tuandalieni vibarua jamani. Bongo sasa tunaletwa kwa lazima.
 

Attachments

  • sketch-1579668092327.png
    sketch-1579668092327.png
    189.7 KB · Views: 2
  • sketch-1579668039625.png
    sketch-1579668039625.png
    141.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom