Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Waimba pambio wana matatizo ya akili kwakweli, eti utawasikia "Haya yote ni kwa kuwa hatutaki ushoga nchini mwetu, Magufuli endelea kuwakazia kamba hao mashoga".

Binafsi nauchukia ushoga na siwapendi mashoga maana wanafanya yaliyo kinyume na maadili yetu ya asili na mafundisho ya Biblia ninayoyakubali sana. Ila action hiyo ya U.S wala HAITOKANI NA MSIMAMO WETU KUHUSU USHOGA bali inatokana na UPUUZI WA AWAMU YA TANO KUKANDAMIZA DEMOKRASIA na VIJANA WETU WENGI KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA KIGAIDI.

Kwanini naamini hivyo:

1.Uganda wana msimamo mkali dhidi ya ushoga kuliko sisi. Wao wana sheria inayotaka mashoga wauawe na mtu yeyote anayepaza sauti kuwatetea yuko hatarini kufungwa si chini ya miaka 20 jela. Sisi hatujafika huko, kwanini tupenye mbinyo huo badala ya Uganda? Nakataa, sababu ya U.S action dhidi yetu si ushoga.

2.Tunajua kwamba Serikali ya Uganda si muumini mzuri wa Demokrasia, lakini sisi tumezidi ndani ya hii awamu ya 5. Si tu kuwa tumeacha kuwa waumini wazuri bali tumeamua kuwa wapagani kabisa kuhusiana na Demokrasia. Na action ya U.S government imejikita kwenye upagani wetu huo.

3.Vijana wetu nao wameongeza kasi kwenye recruitment za makundi ya kigaidi. Tumewasikia Msumbiji, Kenya na hata Mashariki ya Kati. Yaani kadri tunavyohimiza vijana wetu kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria, vijana wetu wengine wanalala mbele kuelekea Al Shabab, n.k. Inaelekea vijana wetu sasa wanapenda kazi za kijeshi jeshi na wako tayari kujiunga kokote kule ilimradi wawe sehemu ya medani. Lakini kwanini wasitamani kujiunga na JKT ili walitumikie taifa letu? Jambo hili linanisononesha sana.
 
Yaani tulegeze watushike makalio ili tusiwekewe vikwazo?

Hao wazungu mbona mnawaona Miungu watu? Shule haziwasaidii ama

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida sio kumuona mungu mtu mpaka Sasa ni mungu mtu wa ukweli Kama hakuna mtu wa kusimama kibweti na kipinga vikwazo Bali inakaakimya kuugulia maumivu this means Ana mamlaka juu yetu kiwe kibaya kizuli tunakipokea tu hapa sio Tanzania tu Africa kiujumla tujitafakali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyuzi kama hizi ndio unapenda kujitutumua,ila uzi wa tanzania kuwekewa vikwazo kule hutii mguu,aisee pole sana kwa kuwa kilaza na ndio maana umesababisha mama ake kabendera kupoteza maisha..
Hakuna kitu kama hicho, na hapa hili tulilizungumza

Tatizo kwa upinzani wa Tanzania, hata kama ni kweli CCM ime bweteka kutokana na overstays for too much lakini kwa Tanzania kuna wapinzani gani wa kustahili kupewa nchi?.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kubania informatics mzee funguka tu....au upo USA river nin?
Nilifunguka. Cheki kuna post nyingine nimeweka hapo. Usa river ni home pia tena napapenda balaa 😂😂😂
 
Sikubaliani na ukandamizaji wa democracy nchini ,lakini sababu za kuwekewa vikwazo kwa mujibu wa taarifa hii haihusiani na democracy ni security issues, security information sharing , serikali waliangalie hilo.
 
Usijifanye mjuaji
Acheni kuhofia sana. Mimi naishi USA, najua sababu kwa nini hili linaweza tokea. Lakini sababu sitaisema sasa hivi kutokana na kwamba bado haijawa official.

Manake USA govt inafikiria kuiweka Tanzania katika nchi hizo, lakini bado hilo halijafanyika na INAWEZEKANA LISIFANYIKE. Kama likifanyika officially, tutakutana tena na nitasema sababu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache watufungie,nani anataka kwenda huko
Hizo ni hasira tu baada ya sera za ushoga kukataliwa,watarudi kivingine wakikwama na ubeberu wao
uganda wana sera kali sana dhidi ya mashoga ila sijawaona kwenye list hapo.

endeleeni kumfariji farao ashupaze shingo ila soon atavunjwa hiyo shingo.
 
Acha ujuaji we jamaa. Hakuna Watz hata 10000 waishi USA
Niwape sababu ninayoijua mimi. Kuna waTz wengi sana wanatakiwa kurudishwa Tz (kuwa deported) from USA. Kwa miaka mingi, ubalozi wa Tz umekuwa unagoma kushirikiana na US govt kurudisha hao watu. Manake ubalozi unakataa kuwapa travel document nk sababu bila hizo hauwezi safirishwa na kurudishwa kwenu. Wanataka kuibana serikali ya Tz ili isaidie kuwarudisha hao watu bongo. Tuandalieni vibarua jamani. Bongo sasa tunaletwa kwa lazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinacho iponza Tanzania niki moja tu sooote tunajitia wasomi wa form iv,dirgrii,mastars, yaaani sote tunajiona sawa tu kina chotokea hakuna wakumshauli mwenzie serikali ifanye poa isi fanye poa kwetu nisawa yaaani ata mioyo yetu tumeisha itoa sadaka na hatujali kuhusu hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu kubwa ni kukataa ushoga...
Huwezi ambiwa acha kukojoa kitandani kama ww hukojoi. Kwann tuambiwe turuhusu ushoga kama hakuna ushoga? Au kuna tatizo tunalificha? Ukute tuna mishoga mingi hii nchi wanaiona inavyonyanyasika kupitia masatelite huko. Mm siwezi kuja kwako nikakuonya uache mkeo awe huru wakati yupo huru.
 
Back
Top Bottom