Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
😂😂😂😂 Eti Prof KibuduIla sina wasiwasi Prof Kibudu yupo atatuondolea vikwazo kama anavyotaka kufanya kwa Zimbabwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 Eti Prof KibuduIla sina wasiwasi Prof Kibudu yupo atatuondolea vikwazo kama anavyotaka kufanya kwa Zimbabwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida sio kumuona mungu mtu mpaka Sasa ni mungu mtu wa ukweli Kama hakuna mtu wa kusimama kibweti na kipinga vikwazo Bali inakaakimya kuugulia maumivu this means Ana mamlaka juu yetu kiwe kibaya kizuli tunakipokea tu hapa sio Tanzania tu Africa kiujumla tujitafakaliYaani tulegeze watushike makalio ili tusiwekewe vikwazo?
Hao wazungu mbona mnawaona Miungu watu? Shule haziwasaidii ama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kama hicho, na hapa hili tulilizungumza
US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kama ni kweli US/EU walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kufuatia kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa ku over stay?, kufuatia JPM anavyotetea rasilimali za nchi yetu tusiendelee kunyonywa, kufisadiwa...www.jamiiforums.com
Tatizo kwa upinzani wa Tanzania, hata kama ni kweli CCM ime bweteka kutokana na overstays for too much lakini kwa Tanzania kuna wapinzani gani wa kustahili kupewa nchi?.
P
Itikadi kali. Dini flani hivi.Kukosa ajira sio sababu ya kuwa gaidi
Wana ma engineer, madokta wameacha kazi nzuri tu kwa ajili ya kwenda kuua
Haha mi nataka kwenda kwa kweli. Na nahisi asilimia kubwa ya watanzania tunataka.Waache watufungie,nani anataka kwenda huko
Hizo ni hasira tu baada ya sera za ushoga kukataliwa,watarudi kivingine wakikwama na ubeberu wao
Nilifunguka. Cheki kuna post nyingine nimeweka hapo. Usa river ni home pia tena napapenda balaa 😂😂😂Acha kubania informatics mzee funguka tu....au upo USA river nin?
Nani kakuambia hilo. Tupo sana. Mimi binafsi najua watz kibao tu ambao ubalozi ndio uliwaokoa wasirudishwe.Hilo ya ku overstay ni Eritrea Nigeria nk, tz hatupo kwny hilo
Acheni kuhofia sana. Mimi naishi USA, najua sababu kwa nini hili linaweza tokea. Lakini sababu sitaisema sasa hivi kutokana na kwamba bado haijawa official.
Manake USA govt inafikiria kuiweka Tanzania katika nchi hizo, lakini bado hilo halijafanyika na INAWEZEKANA LISIFANYIKE. Kama likifanyika officially, tutakutana tena na nitasema sababu.
Mimi binafsi USA ndio ilinitoa kwa kweli na kuniwezesha ku-invest Tz.Haha mi nataka kwenda kwa kweli. Na nahisi asilimia kubwa ya watanzania tunataka.
Sent using Jamii Forums mobile app
uganda wana sera kali sana dhidi ya mashoga ila sijawaona kwenye list hapo.Waache watufungie,nani anataka kwenda huko
Hizo ni hasira tu baada ya sera za ushoga kukataliwa,watarudi kivingine wakikwama na ubeberu wao
Niwape sababu ninayoijua mimi. Kuna waTz wengi sana wanatakiwa kurudishwa Tz (kuwa deported) from USA. Kwa miaka mingi, ubalozi wa Tz umekuwa unagoma kushirikiana na US govt kurudisha hao watu. Manake ubalozi unakataa kuwapa travel document nk sababu bila hizo hauwezi safirishwa na kurudishwa kwenu. Wanataka kuibana serikali ya Tz ili isaidie kuwarudisha hao watu bongo. Tuandalieni vibarua jamani. Bongo sasa tunaletwa kwa lazima.
Imagine nchi zote za africa, south america, middle east, asia nk. kweli kaona tanzania ndio iwemo katika nchi 7 mbovu kabisaaaa. Wow!uganda wana sera kali sana dhidi ya mashoga ila sijawaona kwenye list hapo.
endeleeni kumfariji farao ashupaze shingo ila soon atavunjwa hiyo shingo.
Huwezi ambiwa acha kukojoa kitandani kama ww hukojoi. Kwann tuambiwe turuhusu ushoga kama hakuna ushoga? Au kuna tatizo tunalificha? Ukute tuna mishoga mingi hii nchi wanaiona inavyonyanyasika kupitia masatelite huko. Mm siwezi kuja kwako nikakuonya uache mkeo awe huru wakati yupo huru.Sababu kubwa ni kukataa ushoga...
Wewe ndio haujua kabisa. Census ya miaka 10 iliyopita, watz walisajiliwa 20,038. Hao ni US citizens. Ambao wanajificha weka wengine 20,000. Miaka hio hadi leo a decade later, tutakuwa tunazidi 50,000.