Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Mimi sijui CCM wanawaza nini. Naamini upinzani ukiwa ndani ya ccm tutasahihisha mengi. Nashangaa sana kila mkubwa ndani ya ccm akiwa hadharani ataimba "utukufu kwa mungu mtu ..." akiwa ufichoni analalama. Hakuna mawazo huru. Mzalendo wa kweli hapaswi kusifia kila kitu. Siku hizi ndio mtindo mpya wa wanasiasa ndani ya ccm
Hata kama ni kweli hamna wapinzani wakuwepa nchi, tatizo la nchi hii liko pale pale CCM inakwamisha maendeleo ya taifa hili kwa kushindwa kujenga taasisi imara za uongozi, ni ngumu sana kupata maendeleo endelevu bila kuwa na taasisi imara. We can't relay on a strongman!! Tunahitaji taasisi imara zilizopewa nguvu kikatiba na sheria. Sio wao tu wa Ku define fate ya nchi hii!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu A lissu spirit loading plus opposite parts for ignore human rights and dictatorship
 
Hili halihusiani na mashoga tu mbona Zambia imemfukuza balozi wa Marekani nchini humo kwasababu ya mashoga lakini haimo kwenye list hiyo
Hatutaki mashoga, sauti ya RC kimbelembele ilisikika. Tumezuia line za watu na vitambulisho vya taifa, kazi bure bado kuna majanga. Mawaziri wetu ni wapenda mipasho tu, sawa kabisa.

Hatuwakagui kiundani wanaosafiri kwenda USA, bado majangiri wanapitisha mengi. Uzamiaji. Nchi yetu ina wa ile dini... wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania acheni ujinga katika katazo lao hilo hakuna mahali walipo andika eti kwa sababu ya uminywaji wa democrasia ila walichogusia zaidi katika mambo ya kiusalama zaidi kwenye ugaidi.tunachopaswa kufanya ni kuanza kuwa makini kwa sisi Wenyewe dhidi ya hawa magaidi na kuwareport mahali husika ili waweze kukomeshwa na hali irudi kuwa shwari

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupa pole ndugu yangu hujui unachobandika hapa wale jamaa wakiongea humanisha sio kinacho tangazwa hazarani sio sawa na kinachotolewa kwa viongozi husika
 
Mi nilijua labda tunawekewa vikwazo na Mungu kua tusiende mbinguni kumbe ni hapahapa duniani?? Hahahaa kwani tukienda huko tunapata nn?? Hata wao tunaweza kuwakataza wasije huku pia yan kama mbwai mbwai tu..tunaenda zetu china na Russia na South korea hahaaa
Hatuwezi kuwakatza. Dola yao tunaipenda sana kupitia watalii wa USA, investors etc. Hela yetu tshs bado haina nguvu
 
Hii ni dalili kwamba nchi yetu inaweza kuwa haina usalama wa kutosha haswa kwenye ishu za ugaidi au kuna watu wansotsmbulika kama watanzania wanahusika na ugaidi...
Watanzania wengi sana wametorokea Iran na Iraq wamesajiriwa kama wanajeshi. Marekani huenda kabaini tabia ya kuruhusu vikampuni eti kuwatafutia kazi Saudi Arabia ni chanzo cha ugaidi.Je tunao utaratibu wa kufuatilia kama wahusika wanafika kweli kwenye nchi walizopelekwa kufanya kazi?

Hivi karibuni umezuka mtindo eti madereva wanatafutiwa kazi Saudia.Je tuna uhakika kama wanakwenda huko??? Yawezekana Washington wamescan careful that environmental na kuona watu wetu wanapelekwa kujiunga na vikundi bila serikali kujua.

Washington wanatutuhumu kwamba hatushirikiani kwenye issues related with anti- terrorism na pia lack of sharing of vivid information. Think out of the box msipeleke kwenye siasa ma tume huru tu. Serikali yangu naishauri ifanyie kazi eneo hilo Marekani anatusaidia hana nia mbaya ktk hili
 
Baada ya serikali ya Marekani kutangaza rasmi kuwa kuna uwezekano wa kuwa miongoni mwa nchi zitakazowekewa vikwazo vya usafiri hii ni dalili wazi Waziri wa Mambo za nchi za nje Proff Kabudi ameshindwa kabisa kusimamia sera za nje na akiendelea kushika wizara hiyo tutegemee vikwazo zaidi . Mheshimiwa Rais Magufuli mrudishe Waziri Maiga haraka kwenye Wizara hiyo kabla mambo hayajaharibika kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lu-ma-ga,
Hizo assumptions zako hazina mzizi kabisa mkuu. Sababu ni serikali ya Tanzania imekuwa haishirikiani na ya USA katika mambo mbalimbali ikiwami ya uhamiaji. Wanataka kuilazimisha ishirikiane nao kwa nguvu
 
Huyo mtu tangu siku ya kwanza ya uteuzi wake watu wengi walipinga sana
Baada ya serikali ya Marekani kutangaza rasmi kuwa kunauwezekano wakuwa miongoni mwa nchi zitakazowekewa vikwazo vya usafiri hii ni dalili wazi Waziri wa Mambo za nchi za nje Proff Kabudi ameshindwa kabisa kusimamia sera za nje na akiendelea kushika wizara hiyo tutegemee vikwazo zaidi . Mheshimiwa Rais Magufuli mrudishe Waziri Maiga haraka kwenye wizara hiyo kabla mambo hayajaharibika kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi hii inakuwa kwenye spotlight for all the wrong reasons!
Awamu hii mambo ya diplomasia imefeli sana!
 
Prof Kabudi ni mbabaishaji sana kwenye diplomasia! Hajui chochote kwenye diplomasia zaidi ya historia na maelezo mareeeeeeeefu irrelevant kwa dunia tuliyonayo leo.

Professor Palamagamba Kabudi hawezi kuwa mbadala wa Dr.Augustine Mahiga kwenye uwanja wa Diplomasia mengine yote ni mihemuko tu na doctrine ya "SIPANGIWI"!
 
Si ilwahi kutoka habari kwamba Trump anampongeza jiwe?
 
Back
Top Bottom