mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Mimi sijui CCM wanawaza nini. Naamini upinzani ukiwa ndani ya ccm tutasahihisha mengi. Nashangaa sana kila mkubwa ndani ya ccm akiwa hadharani ataimba "utukufu kwa mungu mtu ..." akiwa ufichoni analalama. Hakuna mawazo huru. Mzalendo wa kweli hapaswi kusifia kila kitu. Siku hizi ndio mtindo mpya wa wanasiasa ndani ya ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ni kweli hamna wapinzani wakuwepa nchi, tatizo la nchi hii liko pale pale CCM inakwamisha maendeleo ya taifa hili kwa kushindwa kujenga taasisi imara za uongozi, ni ngumu sana kupata maendeleo endelevu bila kuwa na taasisi imara. We can't relay on a strongman!! Tunahitaji taasisi imara zilizopewa nguvu kikatiba na sheria. Sio wao tu wa Ku define fate ya nchi hii!
Sent using Jamii Forums mobile app