Newword
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 326
- 299
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harafu kesho mkawaombe watanzania kura eti mpewe nchi kwa akili hizi
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo umeongea point kubwa sana.Namba kubwa ya vijana wa Tanzania inajiingiza ISIS, Al-Shabab ect. Yote haya yanasababishwa na kukosa ajira.
Kuwekeza katika nguvu kazi ya vijana ni muhimu.
Acha wasage meno ili akili ziwarudie, sidhani kama watakuja chagua tena mtu kama jiweKwa uchafu kama huu ndio maana Jf inaonekana inatumiwa kuihujumu nchi, yaani mtu kala miharagwe yake huko kaja kuhara humu jukwaan badala ya kupigwa ban au uzi ufutwe utashangaa unaachwa, Melo una lakujibu kuhusiana na huu upuuzi, hiv huyu kondoo anadhan tukiwekewa vikwazo watakaoteseka ni viongozi? Zimbabwe imeyumba lkn Mugabe hakuwahi kulala njaa au kukosa starehe mpaka alipofariki akiwa matibabun huko ughaibuni, wanaosaga meno ni raia wa kawaida kabisaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
nani aliwah kusimama kuukataa ushogaSababu kubwa ni kukataa ushoga...
Ukitoa waafrika kizazi cha wapigania uhuru ndo walioweza jipigania kupinga ukoloni si kizazi cha sasa akichekani na kizazi cha watumwa kwenye kuonewaNyie mnategemea nchi zingine ndo ziwapiganie dictetor wenu, wakati Tatizo nila watanzania na ililetwa na Watanzania hao hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya ndo ilikuwa ya kwanza kupigwa banHuu ni uonevu kwa tz ilitakiwa Kenya siyo tz maana kdf walikimbia kambi na kuacha majeshi ya marekani kupigana pekeyao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sitaki uniamini ,muamini mungu.Soma tangazo la hiyo viza ban halisemi ushoga.Mbona hata Canada wameanza kuwanyima watanzania viza kimya kimya kwani ni ushoga pia.Think out of box.Kwanini tukuamini?
Sio kweli ,inamaana kama wamarekani wengine wanawapenda watanzania basi Tramp awaachie .Ndio hivyo sasa. Yeye hapendi ila US inapenda.
Tanzania kuna wajinga wengi na wengi sio wafuatiliaji wa mambo mfano trump na republic Kwa ujumla hawasupport ushoga wana upiga bits lakin MTU anakuambia sababu no ushogaUganda ndio ina sheria kali dhidi ya mashoga ukanda huu, na huwaadhibu vikali, imekuaje hawajatajwa.
Duh! Basi hata kututonya?Kaenda kuomba majuzi wamemnyima anajua na nilimpokea hapa reception.
Sent using Jamii Forums mobile app