Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zenye mishahara mikubwa Afrika

Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zenye mishahara mikubwa Afrika

Mishahara ya wabunge+Baba Ubaya ndo yameleta hicho kiwango..



Ni heri ulipwe laki 3 lakini ununue sukari kilo 1 kwa sh.200 kuliko laki 9 halafu sukari sh2500+!
Kweli kabisa.
 
Hiyo lak 9 analipwa Nani?bona mi nalipwa laki 2? Au wamekosea mshahara Wangu?
 
Kwahiyo ipunguzwe sio. Kuna watu wanashikiwa chini sana
 
Bongo mishahara ghafi majority ni kuanzia laki Saba kushuka chini.Hapo kabla ya makato.Hiyo Net pay ya Laki Tisa sijui imekuaje?
 
Back
Top Bottom