tremendous JF-Expert Member Joined Aug 12, 2016 Posts 3,237 Reaction score 5,315 Nov 30, 2017 #61 ArIeN said: Mishahara ya wabunge+Baba Ubaya ndo yameleta hicho kiwango.. Ni heri ulipwe laki 3 lakini ununue sukari kilo 1 kwa sh.200 kuliko laki 9 halafu sukari sh2500+! Click to expand... Kweli kabisa.
ArIeN said: Mishahara ya wabunge+Baba Ubaya ndo yameleta hicho kiwango.. Ni heri ulipwe laki 3 lakini ununue sukari kilo 1 kwa sh.200 kuliko laki 9 halafu sukari sh2500+! Click to expand... Kweli kabisa.
kauga JR JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 3,503 Reaction score 2,078 Nov 30, 2017 #62 Ni basic au take home
Ok9 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,549 Reaction score 4,133 Nov 30, 2017 #63 Hiyo lak 9 analipwa Nani?bona mi nalipwa laki 2? Au wamekosea mshahara Wangu?
S singojr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 5,313 Reaction score 6,895 Nov 30, 2017 #64 Kwahiyo ipunguzwe sio. Kuna watu wanashikiwa chini sana
Arien JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 11,245 Reaction score 11,767 Nov 30, 2017 #65 tremendous said: Kweli kabisa. Click to expand...
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,404 Reaction score 10,900 Nov 30, 2017 #66 Bongo mishahara ghafi majority ni kuanzia laki Saba kushuka chini.Hapo kabla ya makato.Hiyo Net pay ya Laki Tisa sijui imekuaje?
Bongo mishahara ghafi majority ni kuanzia laki Saba kushuka chini.Hapo kabla ya makato.Hiyo Net pay ya Laki Tisa sijui imekuaje?