Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

Mfano wako ni micro, kwenye macro level mambo ni tofauti kabisa.
 
Sababu sio hizo unazotaja Bali sababu ni kwamba Zina wahamiaji wanaoliwea huko wakipata fursa ya kuingia.

Mwisho kwani Kuna ulazima gani wa kwenda USA?

Wazungu wao watakuja tuu maana wanakuja kwenye Utalii so havihusiani na mambo ya Royal tour.
 
Hii haitakuwa kuwekeana misuli, ni reciprocity tu.

Kwanza tuna export gani ya maana kwenda US? Ukiondoa utalii (ambako tunaweza kuongeza kwingine)na misaada ya US (tunayoweza kujipanga kufanya biashara wengine), kuna kipi cha zaidi?
 
Marekani huwa inapitia waves mbalimbali za kujitenga/isolationism na nationalism, Trump atapita na sera zake nyingi kama za tariffs zita backfire watakuja Marais wengine US ambao ni outward thinkers tutaendelea tulipoishia.
 
Sijui
Wanaoenda huko marekani
 
Marekani huwa inapitia waves mbalimbali za kujitenga/isolationism na nationalism, Trump atapita na sera zake nyingi kama za tariffs zita backfire watakuja Marais wengine US ambao ni outward thinkers tutaendelea tulipoishia.
Umeikosa point ya msingi.

Trump anaweza kuwa a blessing in disguise, anawaamsha Waafrika wajikite kwenye kujitegemea zaidi badala ya kutegemea Marekani.

Fikra za "Trump atapita tu" ni fikra za kukubali unyonge na ulemavu kwamba Africa haiwezi kuendelea bila Marekani.
.
 
Duuuu, naona siku zinakimbia sana. 🤣🤣🤣
 
Kama ni kweli basi tumeonewa sana kuwekwa kwenye kundi moja na hao majangili, Oooohh ni kwasababu ya CCM na akina Makonda nimekumbukaaaaa!
 
Kwenye watu wasiojulikana hatujambo, A top
 
Ha
Sasa twende huko kufanya nn tu
 
Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Wapo watanzania ambao wana interests na safari za Marekani iwe kibiashara, kielimu, kisaiasa kisanaa n.k kwa hiyo wataathirika mkuu.
 
Wakaze zaidi mpaka CCM iwaone wanachadema nao ni watu si wanachadema.
 
Unawaza kupekuliwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…