Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

Hii ndiyo kanuni yangu ya maisha, silazimishi kwenda nisipotakiwa.

Kuna dada yangu mmoja mdogo wa mwisho kwetu, alienda ubalozi wa US kuomba visa aje kutusalimia huku US. Ilikuwa likizo yake ya kazini huko Tanzania.Akawaonesha documents zote ubalozini, barua ya mualiko, barua ya kazini, documents za ties Tanzania, etc.

Ubalozini wakaanza kumzingua maswalii meengi ya ajabu. Katikati ya maswali yao ya kishenzi, bidada akakasirika, akasema kama mnafanya US kwenda maswali yote haya, nishaghairi kwenda naomba pasipoti yangu, naenda kusalimia tu safari yenyewe haina umuhimu hivyo.

Yule counselor kusikia hivyo mwenyewe akaona aibu, akampa visa yake.

Kuanzia siku hiyo huyo dada hajawahi kusumbuliwa visa ya US.

Trump anatakiwa kukutana na watu jeuri wa kumwambia kama mnatupiga ban na sisi tunakupiga ban.

Mjamaica anakwambia "Me no beg no friend".

Siombelezei urafiki.
Mfano wako ni micro, kwenye macro level mambo ni tofauti kabisa.
 
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Sababu sio hizo unazotaja Bali sababu ni kwamba Zina wahamiaji wanaoliwea huko wakipata fursa ya kuingia.

Mwisho kwani Kuna ulazima gani wa kwenda USA?

Wazungu wao watakuja tuu maana wanakuja kwenye Utalii so havihusiani na mambo ya Royal tour.
 
Hii ni sarcasm? Kama sio utakuwa unataka kuponza watu wewe, hatujafikia kiwango cha kuwekeana misuli na beberu US, cheki Venezuela alivyonyooshwa na utajiri wake wote wa mafuta, sisi hata hatuna leverage ya maana kwa US, tena sio kwa mwehu Trump. Simba, Swala, tumbili n.k wanapatikana sehemu nyingi sana duniani.
Hii haitakuwa kuwekeana misuli, ni reciprocity tu.

Kwanza tuna export gani ya maana kwenda US? Ukiondoa utalii (ambako tunaweza kuongeza kwingine)na misaada ya US (tunayoweza kujipanga kufanya biashara wengine), kuna kipi cha zaidi?
 
Mkuu,

Dunia inaanza kujipanga kuendelea bila ya kuhitaji ushirikiano wa serikali ya Marekani.

European Union washaanza mkakati wa kujipanga kuendelea bila ushirikiano na US.

COP-29 wiki iliyopita wamemaliza mkutano Baku Azerbaijan watu wengi wanasema wanajipanga kufikia malengo yao ya mazingira bila ushirikiano na US.

Rais William Ruto alishaanza kitambo kuonya nchi za Africa zisitegemee sana dola ya Marekani kwenye biashara za kimataifa kwani Marekani inaitumia dola kama silaha ya kisiasa na inapata unfair advantage kwenye biashara za kimataifa zinazotumia dollar (settlement inafanyika downown New York, dola inapanda thamani bila sababu). Ruto kasema sana Afrika ifanye biashara bila kutumia US dollar, tayari tuna settlement system ipo Addis Ababa inaitwa Pan-African Payment and Settlement System. Tatizo ni kupata support ya kutosha tu.

Huko kwenye internet dunia inaweza kujipanga bila Marekani, Putin alishaanza kujipanga kutumia servers/routers zake za Russia tu. Hakuna sababu malipo ya M-Pesa au NALA kutoka Europe kwenda Tanzania yategemee mifumo ya Marekani. Hakuna sababu technical malipo ya M-Pesa ya ndani ya Tanzania yategemee servers zilizopo nje ya Tanzania.

Africa nayo inatakiwa kuanza kujipanga leo mpaka dawa za kufubaza HIV ni kwa hisani ya watu wa Marekani, Trump akija na kusema tunakata misaada kwa shithole countries hizi itakuwaje?
Marekani huwa inapitia waves mbalimbali za kujitenga/isolationism na nationalism, Trump atapita na sera zake nyingi kama za tariffs zita backfire watakuja Marais wengine US ambao ni outward thinkers tutaendelea tulipoishia.
 
Sijui
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Wanaoenda huko marekani
 
Marekani huwa inapitia waves mbalimbali za kujitenga/isolationism na nationalism, Trump atapita na sera zake nyingi kama za tariffs zita backfire watakuja Marais wengine US ambao ni outward thinkers tutaendelea tulipoishia.
Umeikosa point ya msingi.

Trump anaweza kuwa a blessing in disguise, anawaamsha Waafrika wajikite kwenye kujitegemea zaidi badala ya kutegemea Marekani.

Fikra za "Trump atapita tu" ni fikra za kukubali unyonge na ulemavu kwamba Africa haiwezi kuendelea bila Marekani.
.
 
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Duuuu, naona siku zinakimbia sana. 🤣🤣🤣
 
Kama ni kweli basi tumeonewa sana kuwekwa kwenye kundi moja na hao majangili, Oooohh ni kwasababu ya CCM na akina Makonda nimekumbukaaaaa!
 
Tanzania inaweza nini zaidi ya ufisadi, wizi, ubadhirifu wa mali za umma, mauaji na siasa za uchawa?

Kuna chochote mmefanikiwa kufanya wenyewe bila msaada wowote ule wa kifedha au kiutaalamu kutoka kwa wazungu?

Au ushakunywa wanzuki zako huko kijijini kwenu Samvula chole, unaona kwamba wewe ni tajiri sana?
Kwenye watu wasiojulikana hatujambo, A top
 
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Ha

Sasa twende huko kufanya nn tu
 
Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Wapo watanzania ambao wana interests na safari za Marekani iwe kibiashara, kielimu, kisaiasa kisanaa n.k kwa hiyo wataathirika mkuu.
 
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Wakaze zaidi mpaka CCM iwaone wanachadema nao ni watu si wanachadema.
 
Jibu swari tusipoenda marekani tutakufa ?
Na hvyo vitu wanatupa bure au tunalipia ?

Ahaa utasema ARVs wanatupa msaada
Wasipoleta za msaada kutoka USAID tutakufa
Mana ndo hoja itakimbilia hapo

Ipo hivi wao wanatuhitaji sisi na sisi tunawahitaji wao
wakitukataa tutapata tabu 7bu tulitengeneza utegemezi wa vitu fulani toka kwai
Lkn kama hatutakiwa na vita basi hatutakufa kwa kukuta mizoga barabarani imezagaa vyakura ARDHI zenye rutuba zipo za kutosha
VENEZUELA ZIMBABWE marekani ilizikataa hizi nchi lkn still wananchi wanaishi hawafi kwa kukuta mizoga maisha yanaenda

Kataa UKORONI mambo leo
Japokuwa sifurahishwi na yanayoendelea katika nchi yetu kwa kuchafua IMAGE ya taifa jinsi uongozi wa bi mdashi ulivyo wa hovyo

ila kuna watu ni rahisi kupakuliwa ikiwa wakiambiwa shart la kuingia USAbaby[emoji1148] ni mpk kupakuliwa watapakuliwa wengi sana wenye shobo na wazunguView attachment 3167960
Unawaza kupekuliwa mkuu
 
Back
Top Bottom