Julias Vimvinyira
Senior Member
- Jun 2, 2025
- 155
- 205
Siku wakifunga RC ,watu watavua chupi na kuvuka majiNo reform, no election.... Mnafunga makanisa ya RC lini?
Wakifunga hayo aisee ni masaa tu raia wale wapo barabarani RC hawawezi kwanza RC wana taasisi lukuki hapa tzNo reform, no election.... Mnafunga makanisa ya RC lini?
Hii haikusaidii chochote mdogo wangu. Fikiria zaidi utaelewa ninachokueleza.NO REFORMS NO ELECTION
Mm sio mdgo wako labda wewe ndiye mdogo wangu. Njoo hapa nikuelezee umuhimu wa hiiHii haikusaidii chochote mdogo wangu. Fikiria zaidi utaelewa ninachokueleza.
We mwenyewe unaelewa ulichoandika? Ponda ni poyoyo tu hana uwezo wwteKwa macho ya kawaida, Tanzania inaonekana shwari. Lakini kwa waliopasua pazia la unafiki, hali si ya kawaida tena. Udini umejitokeza waziwazi, tena kwa ushawishi wa kutisha.
Mawaidha ya Eid mwaka huu yameacha majeraha ya kihisia kwa baadhi ya viongozi wa dini nyingine, waliodai kuwa wamepingwa na kulengwa kwa maneno makali na kejeli.
Kwa bahati mbaya, hata Rais Samia Suluhu Hassan ameonekana kuwa muhanga wa chuki hizi za kidini. Wapo wanaompinga si kwa sera zake, bali kwa sababu ya dini yake. Hawasemi moja kwa moja, lakini kauli zao zinaonesha mzizi wa ubaguzi. Hawamtaki Samia kwa sababu sala zake hazifungwi kwa maneno yao. Hii ni hatari kwa Taifa.
Na kama hiyo haitoshi, Shehe Ponda kujiunga na chama cha siasa wakati huu kumeibua maswali mengi.
Amedumu miaka mingi kama kiongozi wa dini asiyeegemea upande wowote wa kisiasa kwa nini sasa?
Je, kuna mkakati mpana unaoibuka kama jibu kwa mashambulizi ya kifikra dhidi ya Waislamu?
Rafiki zangu, huu si wakati wa kupumbazwa na maneno matamu ya kidini.
Tuamke na tuchuje kila tunachosikia.
Tukumbuke: dini si silaha ya kumdhalilisha mwingine. Na Mungu wetu hawezi kupenda chuki kwa jina lake.
Tufumbue macho. Tuseme ukweli. Tukiwa tunatazamana usoni.
Karibu kakaMm sio mdgo wako labda wewe ndiye mdogo wangu. Njoo hapa nikuelezee umuhimu wa hii
Ukiwa chawa unahisi kila mtu anapata riziki kwa kusifia mtu au kakundi ka walanguzi wa rasilimali za Tanganyika. Amka jitafakari na jitambueHii haikusaidii chochote mdogo wangu. Fikiria zaidi utaelewa ninachokueleza.
Mbwa mkubwa? Kuna mbwa anamzidi binadamu? We ni dogyMm sio mdgo wako labda wewe ndiye mdogo wangu. Njoo hapa nikuelezee umuhimu wa hii
JIulize rasilimali za taifa lako zina kusaidia nini hapo ulipo..?Karibu kaka
Kuna watu kama kina MAO ZE DOG, SNOOP DOGY nk majina tu haya ya utani. Ila bora mbwa kuliko wauaji watekaji wabadhurifu wa mali za uma upo dadaMbwa mkubwa? Kuna mbwa anamzidi binadamu? We ni dogy