B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
MKuu acha udini japo hao kobaz ni kobazi tuHata msipo tuunga mkono,wenyewe tu tunajitosheleza , hatuwezi kuungana na dini iliyo jaa wanafiq

Ķobaz wana unafiq sana haoMKuu acha udini japo hao kobaz ni kobazi tu
Wazoee tu hata huko kwa wakristo wapo wanafiki mkuuĶobaz wana unafiq sana hao
Mbona makasiriko Mkuu? Acha kuzuia wengine kutumia haki zao za kujieleza ambazo wewe pia unazitumia kueleza ujinga wako na bado wengine wanakuvumilia.Unatiki kuuza nchi na rasilimali zenu.. ?
Upo na uwazimu jitafakari vema
Nimekuzuia au nimekuelewesha na wewe acha kulazimisha maamuzi ya watanzania. Ni aibu kulazimisha kura wakati watu hawataki wengi wapeweMbona makasiriko Mkuu? Acha kuzuia wengine kutumia haki zao za kujieleza ambazo wewe pia unazitumia kueleza ujinga wako na bado wengine wanakuvumilia.
MKuu acha udini japo hao kobaz ni kobazi tu
Ubaguzi wa kidini Tanzania ni mkubwa kuliko ukabila wa Kenya!Kwa macho ya kawaida, Tanzania inaonekana shwari. Lakini kwa waliopasua pazia la unafiki, hali si ya kawaida tena. Udini umejitokeza waziwazi, tena kwa ushawishi wa kutisha.
Mawaidha ya Eid mwaka huu yameacha majeraha ya kihisia kwa baadhi ya viongozi wa dini nyingine, waliodai kuwa wamepingwa na kulengwa kwa maneno makali na kejeli.
Kwa bahati mbaya, hata Rais Samia Suluhu Hassan ameonekana kuwa muhanga wa chuki hizi za kidini. Wapo wanaompinga si kwa sera zake, bali kwa sababu ya dini yake. Hawasemi moja kwa moja, lakini kauli zao zinaonesha mzizi wa ubaguzi. Hawamtaki Samia kwa sababu sala zake hazifungwi kwa maneno yao. Hii ni hatari kwa Taifa.
Na kama hiyo haitoshi, Shehe Ponda kujiunga na chama cha siasa wakati huu kumeibua maswali mengi.
Amedumu miaka mingi kama kiongozi wa dini asiyeegemea upande wowote wa kisiasa kwa nini sasa?
Je, kuna mkakati mpana unaoibuka kama jibu kwa mashambulizi ya kifikra dhidi ya Waislamu?
Rafiki zangu, huu si wakati wa kupumbazwa na maneno matamu ya kidini.
Tuamke na tuchuje kila tunachosikia.
Tukumbuke: dini si silaha ya kumdhalilisha mwingine. Na Mungu wetu hawezi kupenda chuki kwa jina lake.
Tufumbue macho. Tuseme ukweli. Tukiwa tunatazamana usoni.
Kwa uzoefu wangu ni kwamba Kila mara Rais akiwa Muislamu lazima mvutano wa kidini utokee na hii ni Kwa Kwa sababu Wanaojiita wakristo Huwa hawataki Muislamu kuwa Rais lazima walete chokochoko Kwa namna yeyote Ile.Kwa macho ya kawaida, Tanzania inaonekana shwari. Lakini kwa waliopasua pazia la unafiki, hali si ya kawaida tena. Udini umejitokeza waziwazi, tena kwa ushawishi wa kutisha.
Mawaidha ya Eid mwaka huu yameacha majeraha ya kihisia kwa baadhi ya viongozi wa dini nyingine, waliodai kuwa wamepingwa na kulengwa kwa maneno makali na kejeli.
Kwa bahati mbaya, hata Rais Samia Suluhu Hassan ameonekana kuwa muhanga wa chuki hizi za kidini. Wapo wanaompinga si kwa sera zake, bali kwa sababu ya dini yake. Hawasemi moja kwa moja, lakini kauli zao zinaonesha mzizi wa ubaguzi. Hawamtaki Samia kwa sababu sala zake hazifungwi kwa maneno yao. Hii ni hatari kwa Taifa.
Na kama hiyo haitoshi, Shehe Ponda kujiunga na chama cha siasa wakati huu kumeibua maswali mengi.
Amedumu miaka mingi kama kiongozi wa dini asiyeegemea upande wowote wa kisiasa kwa nini sasa?
Je, kuna mkakati mpana unaoibuka kama jibu kwa mashambulizi ya kifikra dhidi ya Waislamu?
Rafiki zangu, huu si wakati wa kupumbazwa na maneno matamu ya kidini.
Tuamke na tuchuje kila tunachosikia.
Tukumbuke: dini si silaha ya kumdhalilisha mwingine. Na Mungu wetu hawezi kupenda chuki kwa jina lake.
Tufumbue macho. Tuseme ukweli. Tukiwa tunatazamana usoni.
Tupelekeni mnapotaka na mnavyotaka!!!Kwa macho ya kawaida, Tanzania inaonekana shwari. Lakini kwa waliopasua pazia la unafiki, hali si ya kawaida tena. Udini umejitokeza waziwazi, tena kwa ushawishi wa kutisha.
Mawaidha ya Eid mwaka huu yameacha majeraha ya kihisia kwa baadhi ya viongozi wa dini nyingine, waliodai kuwa wamepingwa na kulengwa kwa maneno makali na kejeli.
Kwa bahati mbaya, hata Rais Samia Suluhu Hassan ameonekana kuwa muhanga wa chuki hizi za kidini. Wapo wanaompinga si kwa sera zake, bali kwa sababu ya dini yake. Hawasemi moja kwa moja, lakini kauli zao zinaonesha mzizi wa ubaguzi. Hawamtaki Samia kwa sababu sala zake hazifungwi kwa maneno yao. Hii ni hatari kwa Taifa.
Na kama hiyo haitoshi, Shehe Ponda kujiunga na chama cha siasa wakati huu kumeibua maswali mengi.
Amedumu miaka mingi kama kiongozi wa dini asiyeegemea upande wowote wa kisiasa kwa nini sasa?
Je, kuna mkakati mpana unaoibuka kama jibu kwa mashambulizi ya kifikra dhidi ya Waislamu?
Rafiki zangu, huu si wakati wa kupumbazwa na maneno matamu ya kidini.
Tuamke na tuchuje kila tunachosikia.
Tukumbuke: dini si silaha ya kumdhalilisha mwingine. Na Mungu wetu hawezi kupenda chuki kwa jina lake.
Tufumbue macho. Tuseme ukweli. Tukiwa tunatazamana usoni.
Kuna ukweli!!wakristo wana chuki na Rais akiwa muislamKwa uzoefu wangu ni kwamba Kila mara Rais akiwa Muislamu lazima mvutano wa kidini utokee na hii ni Kwa Kwa sababu Wanaojiita wakristo Huwa hawataki Muislamu kuwa Rais lazima walete chokochoko Kwa namna yeyote Ile.
Hii ilomkumba Mwinyi,Jakaya na sasa Samia.
Na hii sio stori ya mtaani Bali nilikutana nayo kijiweni eti mtu ananiuliza wewe dini gani kisa tuu nilimwambia anitajie Rais ambae hakujawahi kuwa utekaji awamu yake.
UVUNJIKE TU KWA NENE !!! NO REFORM NO ELECTIONNdugu zetu watanzania Bara mkiendekeza mihemko ya chuki dhidi ya Uzanzibari MUUNGANO mtauvunja kwa mikono yenu wenyewe siku sio nyingi..Mark my words!
Shida mna umgando kinyamaMwambie aache ujinga huyo