Tanzania Yatumbukia Rasmi Kwenye Mtego wa Udini

Kwa macho ya kawaida, Tanzania inaonekana shwari. Lakini kwa waliopasua pazia la unafiki, hali si ya kawaida tena. Udini umejitokeza waziwazi, tena kwa ushawishi wa kutisha.

Mawaidha ya Eid mwaka huu yameacha majeraha ya kihisia kwa baadhi ya viongozi wa dini nyingine, waliodai kuwa wamepingwa na kulengwa kwa maneno makali na kejeli.

Kwa bahati mbaya, hata Rais Samia Suluhu Hassan ameonekana kuwa muhanga wa chuki hizi za kidini. Wapo wanaompinga si kwa sera zake, bali kwa sababu ya dini yake. Hawasemi moja kwa moja, lakini kauli zao zinaonesha mzizi wa ubaguzi. Hawamtaki Samia kwa sababu sala zake hazifungwi kwa maneno yao. Hii ni hatari kwa Taifa.

Na kama hiyo haitoshi, Shehe Ponda kujiunga na chama cha siasa wakati huu kumeibua maswali mengi.

Amedumu miaka mingi kama kiongozi wa dini asiyeegemea upande wowote wa kisiasa kwa nini sasa?

Je, kuna mkakati mpana unaoibuka kama jibu kwa mashambulizi ya kifikra dhidi ya Waislamu?

Rafiki zangu, huu si wakati wa kupumbazwa na maneno matamu ya kidini.

Tuamke na tuchuje kila tunachosikia.

Tukumbuke: dini si silaha ya kumdhalilisha mwingine. Na Mungu wetu hawezi kupenda chuki kwa jina lake.

Tufumbue macho. Tuseme ukweli. Tukiwa tunatazamana usoni.
Waislam wana akili ndogo sana na hupenda kutumia udini kwenye mambo mengi
 
Kuna kitu gani kinafichwa mpaka tusiwe na uchaguzi wa wazi huru na wa haki?
 
Kwa macho ya kawaida, Tanzania inaonekana shwari. Lakini kwa waliopasua pazia la unafiki, hali si ya kawaida tena. Udini umejitokeza waziwazi, tena kwa ushawishi wa kutisha.

Mawaidha ya Eid mwaka huu yameacha majeraha ya kihisia kwa baadhi ya viongozi wa dini nyingine, waliodai kuwa wamepingwa na kulengwa kwa maneno makali na kejeli.

Kwa bahati mbaya, hata Rais Samia Suluhu Hassan ameonekana kuwa muhanga wa chuki hizi za kidini. Wapo wanaompinga si kwa sera zake, bali kwa sababu ya dini yake. Hawasemi moja kwa moja, lakini kauli zao zinaonesha mzizi wa ubaguzi. Hawamtaki Samia kwa sababu sala zake hazifungwi kwa maneno yao. Hii ni hatari kwa Taifa.

Na kama hiyo haitoshi, Shehe Ponda kujiunga na chama cha siasa wakati huu kumeibua maswali mengi.

Amedumu miaka mingi kama kiongozi wa dini asiyeegemea upande wowote wa kisiasa kwa nini sasa?

Je, kuna mkakati mpana unaoibuka kama jibu kwa mashambulizi ya kifikra dhidi ya Waislamu?

Rafiki zangu, huu si wakati wa kupumbazwa na maneno matamu ya kidini.

Tuamke na tuchuje kila tunachosikia.

Tukumbuke: dini si silaha ya kumdhalilisha mwingine. Na Mungu wetu hawezi kupenda chuki kwa jina lake.

Tufumbue macho. Tuseme ukweli. Tukiwa tunatazamana usoni.
Ndugu zetu watanzania Bara mkiendekeza mihemko ya chuki dhidi ya Uzanzibari MUUNGANO mtauvunja kwa mikono yenu wenyewe siku sio nyingi..Mark my words!
 
Huo muungano unatusaidia nini watanganyika?
Kwa wazanzibari nakubali unawanufaisha sana.
 
Kwa macho ya kawaida, Tanzania inaonekana shwari. Lakini kwa waliopasua pazia la unafiki, hali si ya kawaida tena. Udini umejitokeza waziwazi, tena kwa ushawishi wa kutisha.

Mawaidha ya Eid mwaka huu yameacha majeraha ya kihisia kwa baadhi ya viongozi wa dini nyingine, waliodai kuwa wamepingwa na kulengwa kwa maneno makali na kejeli.

Kwa bahati mbaya, hata Rais Samia Suluhu Hassan ameonekana kuwa muhanga wa chuki hizi za kidini. Wapo wanaompinga si kwa sera zake, bali kwa sababu ya dini yake. Hawasemi moja kwa moja, lakini kauli zao zinaonesha mzizi wa ubaguzi. Hawamtaki Samia kwa sababu sala zake hazifungwi kwa maneno yao. Hii ni hatari kwa Taifa.

Na kama hiyo haitoshi, Shehe Ponda kujiunga na chama cha siasa wakati huu kumeibua maswali mengi.

Amedumu miaka mingi kama kiongozi wa dini asiyeegemea upande wowote wa kisiasa kwa nini sasa?

Je, kuna mkakati mpana unaoibuka kama jibu kwa mashambulizi ya kifikra dhidi ya Waislamu?

Rafiki zangu, huu si wakati wa kupumbazwa na maneno matamu ya kidini.

Tuamke na tuchuje kila tunachosikia.

Tukumbuke: dini si silaha ya kumdhalilisha mwingine. Na Mungu wetu hawezi kupenda chuki kwa jina lake.

Tufumbue macho. Tuseme ukweli. Tukiwa tunatazamana usoni.
Mwenyewe unaona ulichokiandika basi upo sawa 😂😂
 
Zamani udini ulikemewa vikali sana na viongozi wa juu. Siku hizi kiongozi wa juu anajinasibu kwa namna zote kuwa ni mdini fulani. Kiongozi kuingiza dini yake kwenye mambo ya nchi anaona poa tu na haoni aibu kuji brand kwa dini yake
 
Back
Top Bottom