Tanzania Yatumbukia Rasmi Kwenye Mtego wa Udini

Watawala wako radhi tupigane ili wao waendelee kutawala.

Watanzania tuwe makini sana, nchi hii haipaswi kuchukuliwa kiongozi kisa dini yake.

Mie muislam ila nasema SAMIA akwende zake tu, hana sifa ya uongozi, hawezi kutupa maendeleo,

HAWEZI KUTUPA AMANI NA HAKI KWA PAMOJA NA MAENDELEO
 
Unatiki kuuza nchi na rasilimali zenu.. ?
Upo na uwazimu jitafakari vema
Mbona makasiriko Mkuu? Acha kuzuia wengine kutumia haki zao za kujieleza ambazo wewe pia unazitumia kueleza ujinga wako na bado wengine wanakuvumilia.
 
Mbona makasiriko Mkuu? Acha kuzuia wengine kutumia haki zao za kujieleza ambazo wewe pia unazitumia kueleza ujinga wako na bado wengine wanakuvumilia.
Nimekuzuia au nimekuelewesha na wewe acha kulazimisha maamuzi ya watanzania. Ni aibu kulazimisha kura wakati watu hawataki wengi wapewe
 
Ubaguzi wa kidini Tanzania ni mkubwa kuliko ukabila wa Kenya!
 
Kwa uzoefu wangu ni kwamba Kila mara Rais akiwa Muislamu lazima mvutano wa kidini utokee na hii ni Kwa Kwa sababu Wanaojiita wakristo Huwa hawataki Muislamu kuwa Rais lazima walete chokochoko Kwa namna yeyote Ile.

Hii ilimkumba Mwinyi,Jakaya na sasa Samia.

Na hii sio stori ya mtaani Bali nilikutana nayo kijiweni eti mtu ananiuliza wewe dini gani kisa tuu nilimwambia anitajie Rais ambae hajawahi kuwa utekaji awamu yake wakati kiuhalisia Wakristo kuanzia Nyerere wameua watu wengi sana ,Mkapa , Magufuli wote hao ni balaa.

Kama mnadhani dini zenu ni za muhimu na ndio iwe hoja ya kuchagua ni vyema ikajukikana.
 
Tupelekeni mnapotaka na mnavyotaka!!!
 
Kuna ukweli!!wakristo wana chuki na Rais akiwa muislam
 
Ndugu zetu watanzania Bara mkiendekeza mihemko ya chuki dhidi ya Uzanzibari MUUNGANO mtauvunja kwa mikono yenu wenyewe siku sio nyingi..Mark my words!
UVUNJIKE TU KWA NENE !!! NO REFORM NO ELECTION
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…