Kabulala
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 695
- 936
🙌yah nilichokiandika nilidhamiria misaada ndiyo maana nikaweka muhisani....hata hivyo mikopo yenyewe ni kama misaada kwa sababu tunaiomba kwa dhumuni la kutatua kero zetu na sio kufanyia biashara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙌yah nilichokiandika nilidhamiria misaada ndiyo maana nikaweka muhisani....hata hivyo mikopo yenyewe ni kama misaada kwa sababu tunaiomba kwa dhumuni la kutatua kero zetu na sio kufanyia biashara
Ubungo interchange ni pesa ya ndani.eeeh vp tazara ilikua pesa ya ndani eeehHatutegemei mikopo ya mabeberu, tunajenga uchumi kwa pesa za ndani.... nchi hii ni tajiri.
Anachofanya sio siasa. Huo ni usalitiZitto anafanya watu wasilale, kawashika pabaya CCM.
Hivi Zitto Kabwe anashauriwa na Abdul Nondo aliyejiteka ili apate popularity ya kisiasa, Luth anayetumiwa kueneza uongo kwa kushirikiana na Mogha , Kalyango, Meya eti baraza la Madiwani limekubaliana na Kauli yake ya uongo eti hawawalipi viongozi posho, Anaishi kwa Matukio kwa kujipendekeza Mfano kudanganya eti CAG ametekwa.Uzalendo ndo kujiondoa akili na kukubali kudanganywa na genge ccm??
Unafanya ushabiki au ?Uzalendo ndo kujiondoa akili na kukubali kudanganywa na genge ccm??
Day kumbe hata vilaza wameona mwaka 2020, kazi ipoNingelihakikisha namsubiria 2020 kimya kimya namnyang'anya Ubunge
Ningelitembelea akaunti zake na kuzipiga ban zote kwa amri isiyopingika
Ningelimuondolea hadhi ya kuwa kiongozi wa chama cha siasa kwa ngazi yoyote
Ningemtafutia njia yoyote ile ya kumdhoofisha kiuchumi
Ningemnyang'anya Passport ya kusafiria
Ningemfanya aripoti kituo cha Polisi kila siku
Ningelipiga marufuku chombo chochote cha habari kuandika habari zake.
Nenda ukamuulize Moi wa Kenya alichomfanyia Raila ila Moi ndo amebaki kwasasa anatetemeka mwili mzima huku Raila anakula mema ya nchi.Ningelihakikisha namsubiria 2020 kimya kimya namnyang'anya Ubunge
Ningelitembelea akaunti zake na kuzipiga ban zote kwa amri isiyopingika
Ningelimuondolea hadhi ya kuwa kiongozi wa chama cha siasa kwa ngazi yoyote
Ningemtafutia njia yoyote ile ya kumdhoofisha kiuchumi
Ningemnyang'anya Passport ya kusafiria
Ningemfanya aripoti kituo cha Polisi kiliyla siku
Ningelipiga marufuku chombo a cha habari kuandika habari zake.