Tanzania yaweza kukosa Mkopo wa Dola Milioni 500 kutoka Benki ya Dunia

Tanzania yaweza kukosa Mkopo wa Dola Milioni 500 kutoka Benki ya Dunia

Hivi Meko si ndiyo anawaaminisha watanzania kila siku kwamba nchi yetu ni tajiri!?

Inakuwaje tena akina Chakubanga waanze kulilia misaada ya mabeberu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatutegemei mikopo ya mabeberu, tunajenga uchumi kwa pesa za ndani.... nchi hii ni tajiri.
Ubungo interchange ni pesa ya ndani.eeeh vp tazara ilikua pesa ya ndani eeeh

Nitajie mradi uliojengwa kwa pesa za ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]washukuru mabeberu maana sahv ungekua sukari unanunua kilo elfu 20[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Huyu Zitto tuachane naye".....ndiyo point kubwa niliyoipata kutoka kwenye video!
 
Huku mtaani Kuna mbaba alifikiria hayo yote kwa msela fulani hivi akaona anachelewa, akaamua kutumia vitu vyenye incha kali, Mungu ni mwema jamaa akapona na akahama kabisa na mtaa. Huyu mbaba mpa leo naamini roho yake haijatulia.
 
We nawe unakaa unamfikiria NYEPESI yule NYEPESI ni sisiemu mwenzao Yupo kule kututia ulofa watz ,ukitaka kuamini fikiria vitu amabavyo yeye anaponda na kupost huko mitandaoni. Kuna watu wamepost vitu vya kawaida tu lakn cha moto wamekiona na wamezushiwa Mambo wasiyoyataraijia bt huyu jamaa wa KG anadunda tu na kla kukicha anakosoa serikali .Kwahyo usimmind jamaa kwa Mambo yake anayofanya kwani hayana Impact yoyote kwa upande ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha, hivi nyie maCCM hamchelewi kusahau?

Meko si ndiye anatuaminisha kwamba nchi hii ni TAJIRI, vipi tena Chakubanga et al wanalialia kuhusu kunyimwa misaada na mabeberu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzalendo ndo kujiondoa akili na kukubali kudanganywa na genge ccm??
Hivi Zitto Kabwe anashauriwa na Abdul Nondo aliyejiteka ili apate popularity ya kisiasa, Luth anayetumiwa kueneza uongo kwa kushirikiana na Mogha , Kalyango, Meya eti baraza la Madiwani limekubaliana na Kauli yake ya uongo eti hawawalipi viongozi posho, Anaishi kwa Matukio kwa kujipendekeza Mfano kudanganya eti CAG ametekwa.
Tuwe wakweli Zitto bado ni Kolo
 
Ningelihakikisha namsubiria 2020 kimya kimya namnyang'anya Ubunge

Ningelitembelea akaunti zake na kuzipiga ban zote kwa amri isiyopingika

Ningelimuondolea hadhi ya kuwa kiongozi wa chama cha siasa kwa ngazi yoyote

Ningemtafutia njia yoyote ile ya kumdhoofisha kiuchumi

Ningemnyang'anya Passport ya kusafiria

Ningemfanya aripoti kituo cha Polisi kila siku
Ningelipiga marufuku chombo chochote cha habari kuandika habari zake.
Day kumbe hata vilaza wameona mwaka 2020, kazi ipo
 
Write your reply...Akili za kufikiria kukomoa badala ya kuwaza masuluhisho . Vipi kama jila mtu kwa nafasi yake akitenda hayo kutakuwa na taifa? .
 
Hii nchi siyo masikini na tumenunua ndege kwa cash. Mabeberu wanatuonea wivu. Hiyo msaada ya nini? Tunalilia misaada kabisa? Hii nchi ni tajiri na siyo ya kulilia misaada. Acha apeleke barua kwani sisi tunahitaji misaada?
Waafrika bhana, Mabeberu wanatuonea wivu, hapo hapo tunahitaji misaada yao. Mtu unayempa misaada unaweza kumuonea wivu?
Haya mapinzani ya Tanzania ni majinga vilaza wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningelihakikisha namsubiria 2020 kimya kimya namnyang'anya Ubunge

Ningelitembelea akaunti zake na kuzipiga ban zote kwa amri isiyopingika

Ningelimuondolea hadhi ya kuwa kiongozi wa chama cha siasa kwa ngazi yoyote

Ningemtafutia njia yoyote ile ya kumdhoofisha kiuchumi

Ningemnyang'anya Passport ya kusafiria

Ningemfanya aripoti kituo cha Polisi kiliyla siku
Ningelipiga marufuku chombo a cha habari kuandika habari zake.
Nenda ukamuulize Moi wa Kenya alichomfanyia Raila ila Moi ndo amebaki kwasasa anatetemeka mwili mzima huku Raila anakula mema ya nchi.
 
Back
Top Bottom