Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Kuna Truvks nyingi za Kenya zinafanya kazi Tanzania.Zinabeba hadi kokoto,makaa ya mawe nk
Nakuambia Wakenya wana ROHO MBAYA SANA na UBINAFSINaona hii inatishia mstakabali wa EAC.
Wao wanafaidi sana huku TZ ila hawataki vitu vyao viguswe
Nenda Moshi hasa barabara ya chekereni Mwanga mpaka Tanga kuna Malori mengi sana ya Kenya kila siku sio chini ya 100 yanabeba Makaa ya mawe kutoka Mtwara, Gesi na pia Vitunguu kutoka Chekereni na Kahe
Wanaenda kupackage na kuuza nje
Wanapaswa kupigwa Blockage
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app