Kuna Truvks nyingi za Kenya zinafanya kazi Tanzania.Zinabeba hadi kokoto,makaa ya mawe nk
Nakuambia Wakenya wana ROHO MBAYA SANA na UBINAFSINaona hii inatishia mstakabali wa EAC.
JPM aliwahi kuwapiga ban kama hii akaonekana anaharibu mahusiano, kafunga nchi, hawa si watu wa kuwachekea!!. Kweli tutamkumbuka.Wakenya ni hatari sana wao utakuta gari zao zipo Ruvuma zinapakia mahindi ila wao hawataki gari zetu ziingie ndani ndani kupakia kitu chochote wangeachana na huo upuuzi aisee kila kukicha mambo ya kizamani tuu..
Funga na route ya NBO - ZNZAngalau hapa mwanasheria nguli wa TCAA msomi Hamza Johari amefanya uzalendo unaukubalika, kutetea maslahi ya Tanzania.
Na katazo hili liwe siyo tu baina ya Nairobi na Dar es Salaam tu bali Kenya na viwanja vyote vikubwa vya kimataifa vya nchini Tanzania.
Tanzania blocks Kenya Airways flights in reciprocity dispute
thecitizen.co.tz
https://www.thecitizen.co.tz › national
Tanzania blocks Kenya Airways flights in reciprocity dispute | The Citizen
37 minutes ago — Tanzania blocks Kenya Airways flights in reciprocity dispute. Monday, January 15, 2024.
Missing
Waende Rwanda then waje na RwandairTar 17 nna wageni wangu wanakuja dsm na KQ
sasa hapo inakuwaje
Ova
Muache apumzike kwa amani. Jembe jembe mfuate aliko. Galagabaho.
Muache apumzike kwa amani. Jembe jembe mfuate aliko. Galagabaho.
Mbona wao hawakufungua mjadala kabla ya kuzuia ndege zetu kubeba mizigo?Badala ya kufungua mjadala mnazuia, wanajua connection za KQ kuja Tanzania zilivyo muhimu?
Issue sio spelling ni meseji kufika message sentShould have read: "Government of Tanzania request", and not "the Tanzanian request". "Tanzania request" would have sounded just fine too.
Tatizo hayo Mahindi kwetu hayauziki au wanapangiwa bei ya chini kiasi kwamba mkulima hapati kituWakenya ni hatari sana wao utakuta gari zao zipo Ruvuma zinapakia mahindi ila wao hawataki gari zetu ziingie ndani ndani kupakia kitu chochote wangeachana na huo upuuzi aisee kila kukicha mambo ya kizamani tuu..
Mimi nilidhani kwa kuwa bibi yenu amefungua nchi hatuwezi kufika huko maana tungeyamaliza kimya kimya chini ya uongozi shupavu wa mwana diplomasia nguliHakuna haki bila wajibu. Ukifunguliwa nawe fungua wako.
Kabisa..Muungano kama EU wana mashariti magumu sana kupokea wanachama
Ukitaka kujua uhalali wa uongozi wa Kenya muulize odinga na sio kuja na Porojo zakoNani wa kuwakataa sasa, maana kwa Africa mashariki wangalau Kenya kwa mbali ndio hupata viongozi kwa uhalali. Hawa wengine wote wako madarakani kwa chaguzi za kihayawani. Hivyo wakija viongozi wengine wahuni hakuna wa kumuuliza mwenzake.
Tutaanza na Wapare pamoja na Wamasai, Wapare tuwarudishe pale Taveta na Wamasai tuwarudishe pembezoni mwa Ziwa Turkana, hapo vipi unaonaje?Tuwafukuze na wakenya wanao fanya kazi Tz ,Ili nalo lifanyiwe kazi
Mahakama zao ziko huru, na Odinga alienda mahakamani. Sasa nikamuulize nini tena huyo Odinga?Ukitaka kujua uhalali wa uongozi wa Kenya muulize odinga na sio kuja na Porojo zako
Odienga anasema yeye ni govi kwa hio haina haja ya kukata govi watu waishi tu na magovi yao,Ukitaka kujua uhalali wa uongozi wa Kenya muulize odinga na sio kuja na Porojo zako