Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

Tafuta hela huhitaji kupita Kenya kwenda popote pale. Nasafiri na pipa daily na sijawahi gusa Kenya kwa ndege.

Hizo ticket zenu za Bei rahisi mnasimama kila Kona kama daladala. Tafuta hela
dah usikute hata siti ya ndege hujawahi ona
 
Umesahau Rwanda na Uganda pia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila Tanzania tunanyanyaswq sana juzi tu malawi wamerestrict mahindi kutoka Tanzania kuingia nchini kwao Tanzania nao wakaban importation ya soya beans kutoka malawi
Wabongo tumekaa kizuzu ,ilibidi hii EAC sisi ndio tuwe superpower , hawa Kenge wengine washatuona nanga ,ndio maana wanatishia sharuku kila kukicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…