Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

Should have read: "Government of Tanzania request", and not "the Tanzanian request". "Tanzania request" would have sounded just fine too.
 
Wameacha viwanja vya Kia na zenji kwa ajili ya watalii, international flights zote zinatua Nairobi
 
Duh...! Haya mambo yalianza hivi hivi Sababu ya Kuvunjika EAC-I, Kuundwa Upya EAC-II,"The Coalition of The Willing" Kujimwambafay na Jinsi JK Alivyoiokoa Jumuiya Isivunjike Kwa Kujishusha!
P
 
Wakenya wana roho mbaya Sana du, hii sio kauli ya kiungwana kabisa that mean wameumia roho kweli kweli.
Mafala sana wale. Hizo roho mbaya zao zitakuwa ndiyo mafuta ya kukaangana wenyewe kwa wenyewe. Maana wakitukosa sisi kwenye chuki itabidi wageukiane kuchukiana wenyewe kwa wenyewe na hapo itakuwa worse.
No wonder hata wenyewe wanachukiana kwa kiwango kile wanacho tuchukia sisi ila kimatokeo chuki miongoni kwati yao huwa worse.
 
TCAA wamezuia KQ kuleta na kuchukua abiria Dar es salaam kuandia Januri 22, 2024 kama hatua ya kulipiza suala la Mamlaka ya Ndege ya Kenya kuzuia Tanzania kubeba mizigo kutoka Kenya.

TCAA wamesema mamlaka ya ndege ya Kenya imekiuka makubaliano yaliyosainiwa na Kenya na Tanzania November 24, 2016.

 
Mama yenu si alifungua Nchi.
Na nyie haters ebu msiwe kama mnafirimbwa kupitiliza wakati mwingine, mtapata kansa ya utumbo! Lini mambo ya kibiashara yakakosa mifarakano ya hapa na pale?!!!!! Mchukieni mnavyoweza lakini ndo ameshawazidi hivyo......
 
Magu alishawahi wazuia hawa akaonekana mzee wa Chato mtata. Leo yanarudi yale yale .. inabidi tuende km asemavyo Meddie Kagere " Ukimjua Mnafiki ishi nae Kinafiki"
Walinda legacy mna gubu aisee!
 
Sijui ni kwanini Tz huwa tunakwaruzana na jirani Kenya kuliko majirani zetu wengine..
Au Ke ni much know kuliko Zambia, Rwanda, Uganda ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…