Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo marufuku yalishawahi pigwa huko nyuma Waziri akiwa marehem mzee sitta na rais kikwete,Kenya airways ilipata hasara Sana,Kenya hujisajahau sanaIngekua jembe kafanya hivi angetukanwa sana,uliona mbali R.I.P JPM
#Pooooovuuuuruksaaaa
wapande MabasiTar 17 nna wageni wangu wanakuja dsm na KQ
sasa hapo inakuwaje
Ova
Should have read: "Government of Tanzania request", and not "the Tanzanian request". "Tanzania request" would have sounded just fine too.Kumekucha.
Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya.
Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani.
======
Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania imeeleza kuwa kwa niaba ya Mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeamua kufuta vibali vya Shirika la Ndege la Kenya (KQ) kuendesha safari za abiria kati ya Nairobi na Dar es Salaam kuanzia 22 Januari 2024
Taarifa hiyo imedai hatua hii ni baada ya uamuzi wa mamlaka ya anga ya Jamhuri ya Kenya kwenda kinyume na Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Maelewano kuhusu Huduma za Ndege, kati ya Tanzania na Kenya yaliyotiwa saini Novemba 24, 2016 Jijini Nairobi
Kufuatia Uamuzi huu, hakutakuwa na safari za ndege za abiria kwa KQ kati ya Nairobi na Dar es Salaam kuanzia tarehe 22 Januari 2024
View attachment 2872698
Wameacha viwanja vya Kia na zenji kwa ajili ya watalii, international flights zote zinatua NairobiAngalau hapa mwanasheria nguli wa TCAA msomi Hamza Johari amefanya uzalendo unaukubalika, kutetea maslahi ya Tanzania.
Na katazo hili liwe siyo tu baina ya Nairobi na Dar es Salaam tu bali Kenya na viwanja vyote vikubwa vya kimataifa vya nchini Tanzania.
Tanzania blocks Kenya Airways flights in reciprocity dispute
thecitizen.co.tz
https://www.thecitizen.co.tz › national
Tanzania blocks Kenya Airways flights in reciprocity dispute | The Citizen
37 minutes ago — Tanzania blocks Kenya Airways flights in reciprocity dispute. Monday, January 15, 2024.
Missing
Tunakubali kua kuna mambo wametuzidi, ila wana kawaida ya kutuchukulia "poa" na ku-take advantage ya "ujamaa wetu" ...Wakenya ni wabinafsi, halafu wana nongwa sana.
Duh...! Haya mambo yalianza hivi hivi Sababu ya Kuvunjika EAC-I, Kuundwa Upya EAC-II,"The Coalition of The Willing" Kujimwambafay na Jinsi JK Alivyoiokoa Jumuiya Isivunjike Kwa Kujishusha!Kumekucha.
Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya.
Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani.
======
Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania imeeleza kuwa kwa niaba ya Mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeamua kufuta vibali vya Shirika la Ndege la Kenya (KQ) kuendesha safari za abiria kati ya Nairobi na Dar es Salaam kuanzia 22 Januari 2024
Taarifa hiyo imedai hatua hii ni baada ya uamuzi wa mamlaka ya anga ya Jamhuri ya Kenya kwenda kinyume na Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Maelewano kuhusu Huduma za Ndege, kati ya Tanzania na Kenya yaliyotiwa saini Novemba 24, 2016 Jijini Nairobi
Kufuatia Uamuzi huu, hakutakuwa na safari za ndege za abiria kwa KQ kati ya Nairobi na Dar es Salaam kuanzia tarehe 22 Januari 2024
View attachment 2872698
Wakenya wana roho mbaya Sana du, hii sio kauli ya kiungwana kabisa that mean wameumia roho kweli kweli.
Mafala sana wale. Hizo roho mbaya zao zitakuwa ndiyo mafuta ya kukaangana wenyewe kwa wenyewe. Maana wakitukosa sisi kwenye chuki itabidi wageukiane kuchukiana wenyewe kwa wenyewe na hapo itakuwa worse.Wakenya wana roho mbaya Sana du, hii sio kauli ya kiungwana kabisa that mean wameumia roho kweli kweli.
Na nyie haters ebu msiwe kama mnafirimbwa kupitiliza wakati mwingine, mtapata kansa ya utumbo! Lini mambo ya kibiashara yakakosa mifarakano ya hapa na pale?!!!!! Mchukieni mnavyoweza lakini ndo ameshawazidi hivyo......Mama yenu si alifungua Nchi.
Walinda legacy mna gubu aisee!Magu alishawahi wazuia hawa akaonekana mzee wa Chato mtata. Leo yanarudi yale yale .. inabidi tuende km asemavyo Meddie Kagere " Ukimjua Mnafiki ishi nae Kinafiki"
Sijui ni kwanini Tz huwa tunakwaruzana na jirani Kenya kuliko majirani zetu wengine..Kumekucha.