IS analyst
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 274
- 466
Punguza makasiriko...kibiashara wote tunapoteza. Angalia frequency na idadi ya miji KQ anayotua utaelewa nani atampigia magoti mwenzake 😃🤭Sasa si bado Tanzakundu ndio mtakuja Nairobi kwa Magoti mfunguliwe. You people qre stupid, you think when kenya blocked your airlines from carrying goods they did not know the consequences? Mafala sana. Nairobi dar Route profits are lower than the cargo profits.
Nilichoelewa ww undugu uliio maanisha n kwamba mtu mmoja mwenye id mbili.Sasa kuwa ndugu ni lazima muwe jinsia moja we ni nakubusu ye ni mabusu
Tatizo wakenya wanadhani watanzania kizazi Cha Sasa ndicho kile Cha Enzi za Nyerere wasoma Shule mbovu na vyuo vibovu vya ndani na njeNaipenda sana kanuni ya "jino kwa jino ".
Hamna siyo hivyoNilichoelewa ww undugu uliio maanisha n kwamba mtu mmoja mwenye id mbili.
DiplomaduaSafi sana hiyo kitu kwenye diplomadua ya kimataifa inaitwa scratch my back I Scratch yours
Safi sana Raisi Samia uko vizuri sana kwenye hili
Nipongeze na wataalamu walioshauri uamuzi huo uchukuliwe wako vizuri kichwani
Serikali iendelee kuajiri walio vizuri sana vichwani kushika nafasi nzito Raisi hawi na kazi nzito sana
Wataalamu wamenifurahisha sana Kwa hili limeenea kiusomi,kiutaalamu na kiuzalendo
India na Pakistan walianzaga hivi hiviTCAA wamezuia KQ kuleta na kuchukua abiria Dar es salaam kuandia Januri 22, 2024 kama hatua ya kulipiza suala la Mamlaka ya Ndege ya Kenya kuzuia Tanzania kubeba mizigo kutoka Kenya.
TCAA wamesema mamlaka ya ndege ya Kenya imekiuka makubaliano yaliyosainiwa na Kenya na Tanzania November 24, 2016.
View attachment 2872775
Katazo ni kuanzia trh22Tar 17 nna wageni wangu wanakuja dsm na KQ
sasa hapo inakuwaje
Ova
Hawa wanagombea ukubwa.India na Pakistan walianzaga hivi hivi
JPM ndio mambo yake haya ukija mpole anaenda na ww hvo hvo ukijifanya mjanja mjanja anaenda na ww hvohvo ukjifanya jeuri pale ndio palkuwa mahala pake ,Oyah yule alkuwa mtu EA hii Tz tulianza kuogopeka kbs ,angekuwa JPM angewapga na kitu kzto kikiwemo na kingneIngekua jembe kafanya hivi angetukanwa sana,uliona mbali R.I.P JPM
#Pooooovuuuuruksaaaa
Hahaha nilisoma hiyo KUHANGAIKA nikajiuliza maswali mengi sana, baadae nikasema labda ni kiswahili cha wakenya.Jamaa wana wivu wa kipumbavu sana.
Nakwambia ww acha tu ila JPM alkuwa ni mtu anaeona mbali sana hakuna kolo atakuja hta kumsogelea yule jamaa he was real perfect for a failed nation like Tanzania ,may his soul Rip.Magu alishawahi wazuia hawa akaonekana mzee wa Chato mtata. Leo yanarudi yale yale .. inabidi tuende km asemavyo Meddie Kagere " Ukimjua Mnafiki ishi nae Kinafiki"
Tar 17 nna wageni wangu wanakuja dsm na KQ
sasa hapo inakuwaje
Ova
Wakileta bifu za kipumbavu wakati wa kulipiza unaenda hatua moja mbele, yaani unafanyia kitu kama mtu mwenye tabia ya kuzira pasipo na sababu akizira unamnyima kabsaa halafu unakaa kimyaa baada ya hapo hatorudia tena, sasa na hawa pamoja na kufukuza ndege ungeendana na msako wa raia wanaoishi nchini kinyume cha sheria, baada ya hapo bidhaa kutoka kenya zinapigwa pini baada ya hapo hawatorudia tena.Safi sana hiyo kitu kwenye diplomadua ya kimataifa inaitwa scratch my back I Scratch yours
Safi sana Raisi Samia uko vizuri sana kwenye hili
Nipongeze na wataalamu walioshauri uamuzi huo uchukuliwe wako vizuri kichwani
Serikali iendelee kuajiri walio vizuri sana vichwani kushika nafasi nzito Raisi hawi na kazi nzito sana
Wataalamu wamenifurahisha sana Kwa hili limeenea kiusomi,kiutaalamu na kiuzalendo
Wale ni wakupigwa marufuku hata kuja kuzagaa kwenye taifa letu wanajkuta wajuaji kisa elimu na bdo ni washamba tu mbwa haoWakatieni Tu Wakenya Siwakubal Hata Kdogo Halafu Hawawezi Bila Sisi, Elimu Yao Inawapa Kiburi Mtsyiuu
Watakufa na njaaHapo ni sawa
Wasituchukulie poa
Funga na boarder
Kila upande ujitegemee