Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

Mtu akikupiga ngumi kwenye paji la uso, piga kwa nguvu zaidi kwenye pua yake. Hatarudia tena.
 
EAC ni muungano wa kihuni sana na utasambaratikaga kihuni sana,Rwanda na Burundi wana bifu,Rwanda na Congo bifu,Uganda na Kenya bifu ya biashara ya mafuta na sasa Kenya na Tanzania tena. Muungano kama EU wana mashariti magumu sana kupokea wanachama,ndio maana huwezi sikia wanakwaruzana wao kwa wao.EAC ni muungano wa kihuni
 
Na nyie haters ebu msiwe kama mnafirimbwa kupitiliza wakati mwingine, mtapata kansa ya utumbo! Lini mambo ya kibiashara yakakosa mifarakano ya hapa na pale?!!!!! Mchukieni mnavyoweza lakini ndo ameshawazidi hivyo......
Sasa mbona wakati wa Magufuli mlikuwa mnapiga makelele wakati wanapigwa pini, Sasahivi ndio mnaona Samia yuko sawa? maana alisema amekwenda kufungua nchi ambayo ilifungwa na mtangulizi wake.Nabado tu mtakili Magufuli alikuwa mwamba.
 
Sasa si bado Tanzakundu ndio mtakuja Nairobi kwa Magoti mfunguliwe. You people qre stupid, you think when kenya blocked your airlines from carrying goods they did not know the consequences? Mafala sana. Nairobi dar Route profits are lower than the cargo profits.
Ok kama hii route kwao Haina faida sio shida wamewasaidia kufanya maamuzi Bodi Yao ya Kenya Airways

Sababu watanzania kusafiri kimataifa kwenda popote Qatar Airways,Emirates ,Ethiopian Airways,South African Airways,Rwandair nk zipo nk it is not a big deal hao watakuwa na monopoly za route za kimataifa za Abiria wa Tanzania

Watanzania.kuja Nairobi twaweza kuja na hata Pression Air au hata na mabasi au charter plane it is not a big deal au private car tukapanda Ndege yeyote kufika Jomo Kenyatta international airport Kisha kupanda Ndege yeyote nje ya Kenya Airways kwenda popote.duniani lakini sio Kenya Airways hiyo mindege yenu pikeni kande za kipare kama hamjui kande ni kitu Gani pigeni hiyo mindege Githeri kande za wakikuyu watanzania hatupandi hata kuwe na Ndege za kimataifa hazikanyagi Tanzania.Tukija Kenya tutapanda hizo Ndege zingine sio Kenya airways

Kenya Airways go to hell as far as international routes are concerned . Watanzania hatupandi Ndege nzenu tafuteni wateja nchi nyingine za Jumuiya ya Africa Mashariki wasio na shirika la Ndege strong na wasiojielewa wapande Kenya Airways
 
Lisu atakubali?

Maana Lisu akisikia Kenya anaonaga kama kasikia Mungu!

Hatua hizi zilikuwa akizichukua jpm Lisu lazima afure!
Si umeona hapo linapokuja suala la kitaifa watu wote mnakuwa wamoja

Ova
 
Sasa si bado Tanzakundu ndio mtakuja Nairobi kwa Magoti mfunguliwe. You people qre stupid, you think when kenya blocked your airlines from carrying goods they did not know the consequences? Mafala sana. Nairobi dar Route profits are lower than the cargo profits.
Mjng wewe
Nenda kzbuliwe hko

Ova
 
Sasa si bado Tanzakundu ndio mtakuja Nairobi kwa Magoti mfunguliwe. You people qre stupid, you think when kenya blocked your airlines from carrying goods they did not know the consequences? Mafala sana. Nairobi dar Route profits are lower than the cargo profits.
Ur fu..k idiot go and wash ur stinking ass hole
 
IMG-20240115-WA0014.jpg
 
Tafuta hela huhitaji kupita Kenya kwenda popote pale. Nasafiri na pipa daily na sijawahi gusa Kenya kwa ndege.

Hizo ticket zenu za Bei rahisi mnasimama kila Kona kama daladala. Tafuta hela


Hujui nachosema mimi, kuna connection nyingi sana za watalii zinaishia kenya, unafikiri nakuongelea wewe fala unayesafiri mara moja kwa miaka 6
 
Hii Jumuiya kila mtu ashike lake tu kwa sasa
Kwenye hii jumuia,ukitizama wanayoyafanya,kuna muungano hapa? Siku watu wakiwa huru,bila chokochoko za hapa na pale,ndo uongelee huo muungano. Upo tu kwa jina. Ila kivitendo,hamna kitu
 
Huwezi kuunganisha mabomu madogo madogo kadhaa halafu utegemee usalama. Hizi nchi za EAC zote zina matatizo ya ndani makubwa tu. Sahihi ilitakiwa wa-draft sheria na kanuni (tena wawape third party kufanya hii kazi) halafu kuwe na ulazima wa kila nchi ku-adhere to them. Kwa mfani kuwe na kanuni kuwa kila nchi ni lazima uchaguzi uwe baada ya miaka mitano na kuwe na ukomo wa urais bila kusahau uchaguzi huru na wa haki.
Ni kweli naunga mkono.
Utakuta nchi kama Rwanda au South Sudan zinatawaliwa kibabe, wanakuja kuomba uanachama wanakubaliwa bila masharti yoyote.
Upuuzi kabisa
 
Back
Top Bottom