Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EAC ni muungano wa kihuni sana na utasambaratikaga kihuni sana,Rwanda na Burundi wana bifu,Rwanda na Congo bifu,Uganda na Kenya bifu ya biashara ya mafuta na sasa Kenya na Tanzania tena. Muungano kama EU wana mashariti magumu sana kupokea wanachama,ndio maana huwezi sikia wanakwaruzana wao kwa wao.EAC ni muungano wa kihuni
Elimu gani waliyonayo?wangeenda kufua chupi huko middle eastWakatieni Tu Wakenya Siwakubal Hata Kdogo Halafu Hawawezi Bila Sisi, Elimu Yao Inawapa Kiburi Mtsyiuu
Alijipendekezaje?Magu alideal nao ila mamako akaja kwenda kujipendekeza alifikiri wakenya wanampenda sana?
Watakufa njaaHapo ni sawa
Wasituchukulie poa
Funga na boarder
Kila upande ujitegemee
Sasa mbona wakati wa Magufuli mlikuwa mnapiga makelele wakati wanapigwa pini, Sasahivi ndio mnaona Samia yuko sawa? maana alisema amekwenda kufungua nchi ambayo ilifungwa na mtangulizi wake.Nabado tu mtakili Magufuli alikuwa mwamba.Na nyie haters ebu msiwe kama mnafirimbwa kupitiliza wakati mwingine, mtapata kansa ya utumbo! Lini mambo ya kibiashara yakakosa mifarakano ya hapa na pale?!!!!! Mchukieni mnavyoweza lakini ndo ameshawazidi hivyo......
Ok kama hii route kwao Haina faida sio shida wamewasaidia kufanya maamuzi Bodi Yao ya Kenya AirwaysSasa si bado Tanzakundu ndio mtakuja Nairobi kwa Magoti mfunguliwe. You people qre stupid, you think when kenya blocked your airlines from carrying goods they did not know the consequences? Mafala sana. Nairobi dar Route profits are lower than the cargo profits.
Si umeona hapo linapokuja suala la kitaifa watu wote mnakuwa wamojaLisu atakubali?
Maana Lisu akisikia Kenya anaonaga kama kasikia Mungu!
Hatua hizi zilikuwa akizichukua jpm Lisu lazima afure!
Mjng weweSasa si bado Tanzakundu ndio mtakuja Nairobi kwa Magoti mfunguliwe. You people qre stupid, you think when kenya blocked your airlines from carrying goods they did not know the consequences? Mafala sana. Nairobi dar Route profits are lower than the cargo profits.
Ur fu..k idiot go and wash ur stinking ass holeSasa si bado Tanzakundu ndio mtakuja Nairobi kwa Magoti mfunguliwe. You people qre stupid, you think when kenya blocked your airlines from carrying goods they did not know the consequences? Mafala sana. Nairobi dar Route profits are lower than the cargo profits.
Tafuta hela huhitaji kupita Kenya kwenda popote pale. Nasafiri na pipa daily na sijawahi gusa Kenya kwa ndege.
Hizo ticket zenu za Bei rahisi mnasimama kila Kona kama daladala. Tafuta hela
Kwenye hii jumuia,ukitizama wanayoyafanya,kuna muungano hapa? Siku watu wakiwa huru,bila chokochoko za hapa na pale,ndo uongelee huo muungano. Upo tu kwa jina. Ila kivitendo,hamna kituHii Jumuiya kila mtu ashike lake tu kwa sasa
Ni kweli naunga mkono.Huwezi kuunganisha mabomu madogo madogo kadhaa halafu utegemee usalama. Hizi nchi za EAC zote zina matatizo ya ndani makubwa tu. Sahihi ilitakiwa wa-draft sheria na kanuni (tena wawape third party kufanya hii kazi) halafu kuwe na ulazima wa kila nchi ku-adhere to them. Kwa mfani kuwe na kanuni kuwa kila nchi ni lazima uchaguzi uwe baada ya miaka mitano na kuwe na ukomo wa urais bila kusahau uchaguzi huru na wa haki.
Hakuna jumuiya hapo. Hii jumuiya ni ya viongozi kufuja hela za wananchi wake.Hii Jumuiya kila mtu ashike lake tu kwa sasa