Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

Sasa si bado Tanzakundu ndio mtakuja Nairobi kwa Magoti mfunguliwe. You people qre stupid, you think when kenya blocked your airlines from carrying goods they did not know the consequences? Mafala sana. Nairobi dar Route profits are lower than the cargo profits.
Punguza makasiriko...kibiashara wote tunapoteza. Angalia frequency na idadi ya miji KQ anayotua utaelewa nani atampigia magoti mwenzake 😃🤭

Screenshot_20240115_201634.jpg
 
Naipenda sana kanuni ya "jino kwa jino ".
Tatizo wakenya wanadhani watanzania kizazi Cha Sasa ndicho kile Cha Enzi za Nyerere wasoma Shule mbovu na vyuo vibovu vya ndani na nje

Kizazi Cha Sasa Cha watanzania ambao hawakuwa Wala uongozi Kipindi Cha Nyerere na walivyosoma ni nje ya mitaala ya Nyerere wengine wamesoma Hadi hukohuko Kenya au ulaya au marekani kuanzia chekecheea au In between Kwa level mojawapo .So they are fearless .Wakenya wasiishi Kwa mazoea wasomi wa Sasa sio wale wa Enzi za Nyerere Walikuwa wakiponda ohh hata kingereza hawajui wakenya wanawapita

Wakenya wajiandae current leaders waliopo areas mbalimbali wengine hata hawajui Nyerere ni nani wanajali tu profession zao,utaalamu na Uzalendo tu

Kenya watoke nje Ya Box the Tanzania they new sio ya Sasa

Hii ya Sasa Ina new generation wengi wanaojielewa not old dogs loyal to Kenya
 
Safi sana hiyo kitu kwenye diplomadua ya kimataifa inaitwa scratch my back I Scratch yours

Safi sana Raisi Samia uko vizuri sana kwenye hili

Nipongeze na wataalamu walioshauri uamuzi huo uchukuliwe wako vizuri kichwani

Serikali iendelee kuajiri walio vizuri sana vichwani kushika nafasi nzito Raisi hawi na kazi nzito sana

Wataalamu wamenifurahisha sana Kwa hili limeenea kiusomi,kiutaalamu na kiuzalendo
Diplomadua
 
TCAA wamezuia KQ kuleta na kuchukua abiria Dar es salaam kuandia Januri 22, 2024 kama hatua ya kulipiza suala la Mamlaka ya Ndege ya Kenya kuzuia Tanzania kubeba mizigo kutoka Kenya.

TCAA wamesema mamlaka ya ndege ya Kenya imekiuka makubaliano yaliyosainiwa na Kenya na Tanzania November 24, 2016.

View attachment 2872775
India na Pakistan walianzaga hivi hivi
 
Ingekua jembe kafanya hivi angetukanwa sana,uliona mbali R.I.P JPM


#Pooooovuuuuruksaaaa
JPM ndio mambo yake haya ukija mpole anaenda na ww hvo hvo ukijifanya mjanja mjanja anaenda na ww hvohvo ukjifanya jeuri pale ndio palkuwa mahala pake ,Oyah yule alkuwa mtu EA hii Tz tulianza kuogopeka kbs ,angekuwa JPM angewapga na kitu kzto kikiwemo na kingne
 
Magu alishawahi wazuia hawa akaonekana mzee wa Chato mtata. Leo yanarudi yale yale .. inabidi tuende km asemavyo Meddie Kagere " Ukimjua Mnafiki ishi nae Kinafiki"
Nakwambia ww acha tu ila JPM alkuwa ni mtu anaeona mbali sana hakuna kolo atakuja hta kumsogelea yule jamaa he was real perfect for a failed nation like Tanzania ,may his soul Rip.
 
Safi sana hiyo kitu kwenye diplomadua ya kimataifa inaitwa scratch my back I Scratch yours

Safi sana Raisi Samia uko vizuri sana kwenye hili

Nipongeze na wataalamu walioshauri uamuzi huo uchukuliwe wako vizuri kichwani

Serikali iendelee kuajiri walio vizuri sana vichwani kushika nafasi nzito Raisi hawi na kazi nzito sana

Wataalamu wamenifurahisha sana Kwa hili limeenea kiusomi,kiutaalamu na kiuzalendo
Wakileta bifu za kipumbavu wakati wa kulipiza unaenda hatua moja mbele, yaani unafanyia kitu kama mtu mwenye tabia ya kuzira pasipo na sababu akizira unamnyima kabsaa halafu unakaa kimyaa baada ya hapo hatorudia tena, sasa na hawa pamoja na kufukuza ndege ungeendana na msako wa raia wanaoishi nchini kinyume cha sheria, baada ya hapo bidhaa kutoka kenya zinapigwa pini baada ya hapo hawatorudia tena.
 
Back
Top Bottom