Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

Huko Holili border nako kunafuka moshi baada ya mamlaka za Tz kuzuia shehena ya parachichi toka Kenya kwa madai ya ubora hafifu.

Tusubiri counterattack.

Kenya tuliwalegezea sana ... hawa wanataka "weka ugoko niweke chuma"
 
Nasisi tz tumezidi sasa hadi parachichi itoke Kenya? Mbeya na njombe yanaoza tu
Hazikuwa kwa ajili ya soko letu. Ilikuwa zinatafutiwa vibali Tanzania ili zikauzwe nje. Hazikuwa na viwango vya kupata vibali vya kuuzwa nje ya Kenya.
 
Si ndiyo hao juzi hapa wameleta magati ya parachichi changa ili zipigwe muhuri wa Tanzania kisha wapeleke nje ili zionekane zimetoka TZ, wale ni nyang'au
 
Nimeona Kipara anasema watakaa mezani na Musalia Mudavadi kusuluhisha ndani ya siku 3.

CCM mnatengeneza tatizo halafu mnalitatua wenyewe.
 
Hujui nachosema mimi, kuna connection nyingi sana za watalii zinaishia kenya, unafikiri nakuongelea wewe fala unayesafiri mara moja kwa miaka 6

Mambo ya kupita Kenya hata watalii washaacha, unapita Kenya kama unapenda mwenyewe. International airlines karibu zote zina direct flights to TZ daily from KLM, Qatar, Emirates, Edelweiss (Swiss), Ethiopia airways, etc. Upite Kenya kutafuta nini?

Tafuta hela kijana ipo siku utapitishwa Somalia kwa ndege zako za bei rahisi.
 
Halafu utashangaa Wakenya wanafungua anga na sisi hao kurupu tunafungua.

Dawa ni ban ya mwaka mzima hata wafungue na hoja ipelekwe kamati ya Bunge wakakazie Bungeni ipigwe ban ya mwaka mzima.

Njoroge hawana maana kabisa
 
Atii mungiki ako na matatizo makubwa sana ya kufikiri.

Ndege zote zilizokata route ya Dar na kuishia Nairobi mnufaika ni Kenya airways kwenye strategic alliance kuleta abiria Tanzania.

Shirika lenyewe la ndege lina madeni, linaendeshwa kwa hasara na heavily subsidised. Route ya Tanzania ni source kubwa ya mapato yao.

How do you even dare kutupa uchafu kwenye kisima cha maji unayokunywa, wakati maradhi yatakupata wewe. Bila ya wazungu kushikilia sehemu kubwa za uchumi wao Kenya hawana tofauti kubwa sana na chi zingine za E.A.

Kesho tu utasikia basi yaishe, awawezi afford hiyo counter measure, sio tu hasara kwa Kenya airways but bad for their reputation kuna wazungu wengi sana holiday zao zitaharibika sasa kwanini ujaribu in the first.

Akili za wakenya zinawatosha wenyewe, hawajui kula na kipofu.
 
Halafu hiyo yakuzuia ndege zetu tangia mwaka jana wanahangaika na nakupata hasara, sasa sisi tunawapa na muda kabisa tarehe 22? Ilitakiwa ikatwe ghafl ili na wao waona adha tupatayo, ila sie tuna moyo wa kibinadamu sana.
 
Hivi EAC ina maana gani? Naona ni kama jina tu, lakini ndani hakuna Uhalisia.

Kila uchwao nchi jumuiya zinazidi kutunishiana misuli tu.
 
Kenya kilichowaumiza zaidi ni ile kufungiwa kuja kuingia mashambani na kununuwa mazao.

Tuliwadekeza sana, akaja Msomali akasema, hapana, kwenda huko.
Hawa watu ni washenzi sana wajiona wana akili kuliko watu wote hapa east africa
 
Wakenya ni hatari sana wao utakuta gari zao zipo Ruvuma zinapakia mahindi ila wao hawataki gari zetu ziingie ndani ndani kupakia kitu chochote wangeachana na huo upuuzi aisee kila kukicha mambo ya kizamani tuu..
Kuna Truvks nyingi za Kenya zinafanya kazi Tanzania.Zinabeba hadi kokoto,makaa ya mawe nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…