much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Unayajua madai ya Odinga yalikuwa ni yapi na je yalijibiwa?Mahakama zao ziko huru, na Odinga alienda mahakamani. Sasa nikamuulize nini tena huyo Odinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unayajua madai ya Odinga yalikuwa ni yapi na je yalijibiwa?Mahakama zao ziko huru, na Odinga alienda mahakamani. Sasa nikamuulize nini tena huyo Odinga?
Madai yake ni yapi boss?Unayajua madai ya Odinga yalikuwa ni yapi na je yalijibiwa?
Watu wasikate magovi yao au kuna madai mengine?Unayajua madai ya Odinga yalikuwa ni yapi na je yalijibiwa?
Sema wewe unayejifanya uhalalisha kwa porojo zakoMadai yake ni yapi boss?
Watu wasikate magoviMadai yake ni yapi boss?
Umekata govi lakini?Sema wewe unayejifanya uhalalisha kwa porojo zako
Arun Kumar a.k.a Govinda mcheza sinema wa India ni ndugu yake OdingaOdienga anasema yeye ni govi kwa hio haina haja ya kukata govi watu waishi tu na magovi yao,
Ndio hayo na jingine ni kuwa mademu kama wewe mpewe uhuru kucomment chochote na popote Si umeona unavyootumia uhuru vizuri?Watu wasikate magovi yao au kuna madai mengine?
Nmekata usiwe na hogo kunitunuku hiyo papuchi yakoUmekata govi lakini?
Narudia tena nikirudisha mashambulizi utaiona JF chungu, acha kuandika ujingaNmekata usiwe na hogo kunitunuku hiyo papuchi yako
Na wewe pia uache kuandika ujingaNarudia tena nikirudisha mashambulizi utaiona JF chungu, acha kuandika ujinga
Kejeli wakati kasema mwenyewe OdingaSi umeanza mwenyewe na kejeli zako
Odinga kasema mwenyeweNa wewe pia uache kuandika ujinga
Unaweza kuta kuna watu wanakuona una busara na akiliIngekua jembe kafanya hivi angetukanwa sana,uliona mbali R.I.P JPM
#Pooooovuuuuruksaaaa
Hayo ndo madai yake mahakamani?Odinga kasema mwenyewe
Kuhusu nini?Hayo ndo madai yake mahakamani?
Uliambiwa na nani?Si tuliambiwa tumefungua nchi na kwamba rais wetu ni mwanadiplomasia nguli asiye na mfano barani Africa?
Kwaiyo ulivamia tu kunijibu bila kujua naandika kuhusu Nini?Kuhusu nini?