post: 33927182, member: 410952"]
Nigeri ina almost eneo kama la TZ, na ina matatizo makubwa sana mkuu, matatizo ya kijamii, kiuchumi, kidini kisiaasa n.k , ni mengi sana kuyajadili hapa, lakini matatizo yote yanakuwa ni magumu kuyasuluhisha sababu ya idadi kubwa ya watu
kuna matatizo kama vita ya wakulima na wafugaji, hili ni complicated kusuluhisha sababu ya ufinyu wa ardhi, kuna tatizo la inequality (gape kubwa kati ya masikini na tajiri) hili nalo ni ngumu kuliondoa sababu ya idadi kubwa ya watu, matatizo kama ugaidi, wizi, haya na yenyewe yanatokana na population kubwa inayofanya vijana wanakuwa desperate na kuwa manipulated kirahisi kujiunga na hayo makundi, Wa Nigeria juzi pia kulivyotokea vurugu South Afrika wao ndio walikuwa wahanga wakubwa sababu ndio wahamiaji wengi kule, wanahamia sababu nchi yao ndio vile tena. Hya ni baadhi tu
Hilo la Wachaga kupigwa vita mimi nadhani ni perception tu za watu, labda ungelielezea vizuri pengine
Rasilimali za Nigeria na za Africa, zina wanufaisha hao ambao unasema wame endelea na hawako overpopulated.
Jaribu kuangalia global ecological footprint na global environmental footprint ya jamii mbali mbali, ili kupata picha nzuri.
Wachagga wamepigwa vita overtly and covertly via pseudo-egalitarian policies and via pseudo-patriotism.
Chagueni rais mzuri mchagga mkristo wa center politics (na asieichukia sabato ya siku ya saba), halafu muungeni mkono, utaona jinsi nchi itakavyoendelea vizuri. Hiyo population ya 100 m to 150 m haitakua tatizo; just turn the regional capitals (like Bukoba, Moshi, Kibaha, Arusha, Iringa, Mtwara etc.) into well planned pro-poor cities, manage the economy well and sustainably, have good governance, respect human rights, respect private property rights (including those of natives), respect community property rights etc. Hiyo ya 200 m sidhani kama itatokea.
Halafu kipindi hicho cha 2100, kuna uwezekano mwisho wa dunia utakuwa umeshafika.[/QUOTE]Mkuu Naomba Kukujibu kwenye Aya yako ya mwisho tu Tena kwa ufupi Sana.
Jibu: Hakuna mwisho wa Dunia Bali life expectancy ya watu ndo itazid kupungua siku Hadi siku. pengine Hadi kufikia mtu mwenye umri wa miaka 5 ndo atakuwa mzee wa kufa.
Mfano; Kutoka enzi za kina Adam kuishi miaka 900+ mpaka sasa hivi miaka 45-65(Range ya life expectancy dunian kote) just imagine miaka 200 ijayo life expectancy ya mtu itakuwa imeshuka Hadi umri gani. Hivyo ndo Dunia itaenda na kamwe Dunia haitaisha Ila Sisi ndo Tunaenda tunaisha kila kukicha na maisha yetu yanaendelea kuwa mafupi daily itafikia Muda umri wa binadam kuishi utakuwa Kama wa Nzi anavyoishi Sasa.
NOTE:Ili uweze kunielewa inatakiwa uweke pembeni mafundisho ya kidini kwanza na ufocus kwenye real facts na uhalisia wa maisha yanavyoenda. Harafu pia hata tukisema tukugusie Mambo ya Imani ; Mungu hawezi kuiteketeza Dunia yake kisa mwanadamu Alie tenda Dhambi Bali atakaeteketezwa Ni mwanadam mwenyewe. Ndo Maana ikawepo kuzimu na peponi. Na zote hazijulikana Kama zipo duniani, juu Wala chini ya Dunia.(japo ukisoma maandiko matakatifu utakuta yanatumia Sana Dunia kama mhusika kuliko mwanadamu juu ya kuteketezwa)
Mwisho: Natamani kutoa details zaidi juu ya hii mada sema nitavuruga Uzi wa mkuu. Coz this topic is not related to the population issues which is our main thread now.
So let us focus on our thread rather than this contravasory issue which need great thinking campacity to discuss.
Sent using
Jamii Forums mobile app