Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
si mwenyekiti anasema tuzaliane ili tuwe nchi tajiri kama china, vipi hautaki kudumisha fikra za mwenyekiti?
"Akili za kuambiwa ongeza na za kwako" J. M. Kikwete
si mwenyekiti anasema tuzaliane ili tuwe nchi tajiri kama china, vipi hautaki kudumisha fikra za mwenyekiti?
Wengi wanapenda bunye za bure..wana-ccm wakiambiwa "fyatua" wanawaza KUMWAGA tu, bila kufikiria kuwa baadae kuna kulea, kuuguza, kusomesha, kuoza, etc etc.
Wengi wanapenda bunye za bure
Waafrika usije kuwafananisha na wachina kabisa, ni almost kama species mbili tofautiMkuu kabla hujalialia kuhusu hao watanzania 200 wajao kwamba watukula,kulala na kuishi wap?
Ungefikria kwanza Wachina Bilion moja+ wanakula wap? Wanalala wap? Na wanaishi Wapi?
Hao watu 200m Ni Wachache Sana hasa kwa nchi kubwa kama Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu improve uwezo wako wa kufikiri.
Watu kuongezeka ndo fursa kuongezeka
Unajilinganisha na Wachina? Wachina wako kama sisi?Mkuu kabla hujalialia kuhusu hao watanzania 200 wajao kwamba watukula,kulala na kuishi wap?
Ungefikria kwanza Wachina Bilion moja+ wanakula wap? Wanalala wap? Na wanaishi Wapi?
Hao watu 200m Ni Wachache Sana hasa kwa nchi kubwa kama Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrika usije kuwafananisha na wachina kabisa, ni almost kama species mbili tofauti
Akili za wachina kwenye ufanisi wa kuvuna na kutumia rasilimali ni mlima na kichuguu ukilinganisha na za Waafrika
Afrika ndio maana bara la nchi zaidi ya 50, lakini linapewa hadi msaada wa kujengewa makao makuu ya AU, Burundi inajengewa hadi Ikulu yake na China
Nigeria wako 250 million wanaishije. High population ni faida kwenye economy kwanza ndo agriculture itakua na business zotapata internal market.
Na wanaofanikiwa wanakula maisha hapo france mpk France national team wanacheza na world cup wanabeba. Nigeria biashara ndogondogo zinalipa sana kutokana na market kuwa kubwa.Wanaishi kwa shida sana, vijana wengi wa Nigeria wanakufa kwenye maji na sahara wakijaribu kukimbilia Ulaya, hao wote kwenye hiyo boti hakuna raia wa Botswana wala Namibia, > 90 % wanaikimbia Nigeria.
View attachment 1305433
Na wanaofanikiwa wanakula maisha hapo france mpk France national team wanacheza na world cup wanabeba. Nigeria biashara ndogondogo zinalipa sana kutokana na market kuwa kubwa.
Na wanaofanikiwa wanakula maisha hapo france mpk France national team wanacheza na world cup wanabeba. Nigeria biashara ndogondogo zinalipa sana kutokana na market kuwa kubwa.
Mawazo mazuri, ila wavuta bangi wa apa tanzania hawatakuelewaHalafu watu huwa wanaongelea mafanikio ya Botswana au Namibia kiuchumi ila wanasahau wenzetu wako wachache Namibia na Botswana wote wana watu chini ya milioni 2 wakati nchi zao zina ukubwa karibia sawa na nchi yetu.
Binafsi naamini kama sasa hivi tungekuwa chini ya milioni 10 tungekuwa mbali sana kiubora wa maisha.
Mzungu alifanya kitu Cha maana Sana, kuweka matabaka. Wenye Mali wanawaza kuwekeza na kutumia fedha. Wakati masikini anawaza kuzaaa tuuuu na kula makandeWatanzania wote wako hivyo wenye vyama na wasio na vyama, karibia kila house girl ana mtoto/watoto baba hajulikani au hana uwezo na wote hao ni Mabinti waliotakiwa kuwa Shuleni, angalia tu mtaani utaona kila siku wasichana wanajifungua ambao hawana hata uwezo wa kuwatunza watoto vijijini ndo usiseme.
Wazungu wametugeuza soko kubwa sana, na ivi tunazaaaa zaaa ovyo tutaendelea kuwa soko mpakaNgoma sio ishu siku hizi mzee, mzungu katuletea ARV watu wanadunda nao hata miaka 80
Wazungu watatucontrol waafrika kwa kutengeneza magonjwa ambayo yatawapunguza waafrika kama HIV,Kifua kikuuu, Gonorrhea, ebola na MalariaWaafrika wameanza kuelimishwa miaka tangia mkoloni atie mguu kwenye hili bara, lakini mpaka sasa hivi hakuna lolote, sijui ataelimika kipindi hicho ambacho amezidiwa?
Rate ya kuzaliana itapvngua kwa hiyo hawatafika mil 200. Akili ya binadamu itakuwa advanced zaidiSwala siyo nafasi ya kuishi, swala ni kwamba wataishije? Watakula nini? Kazi watafanya wapi, wataishi wapi? Kumbuka watahitaji maji ya kunywa, umeme, nyumba za kuishi, Dar ya leo tuko kwenye milioni 5 lkn inatushinda, hao milioni 250 wataishije?
Probably ya Mwafrika inaenda backwardsRate ya kuzaliana itapvngua kwa hiyo hawatafika mil 200. Akili ya binadamu itakuwa advanced zaidi