Mimi sijacomment hiyo kitu, umenichanganya.Ngoma sio ishu siku hizi mzee, mzungu katuletea ARV watu wanadunda nao hata miaka 80
Mimi sijacomment hiyo kitu, umenichanganya.Ngoma sio ishu siku hizi mzee, mzungu katuletea ARV watu wanadunda nao hata miaka 80
Hii ndiyo comment yangu.Walipoambiwa wafyatue hii ni nchi tajiri itawasomesha na kuwapa kila kitu, wakaongeza wake. Sasa hivi ukienda familia za wenzetu, kila mtu ana wake zaidi ya mmoja na ukihesabu watoto mhu! Saa nyingine dini zinasaidia ku control kuzaliana ila na sera vile vile. Zamani sheria zetu ilikuwa maximum watoto wanne ndo watahudumiwa sasa naona ruksa kuwa na mia. Sasa wale wa vihamba na bibanja watagawana mpaka wengine wakae juu ya miti. Mashamba yatajaa makaburi.
Hapo sasa.Itakuwa kama Nigeria
Nigeria Wananchi wote ni matapeli wametapakaa dunia nzima
Nchini kwao wamebaki Mabwenyenye na wanaomiliki ardhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrika wameanza kuelimishwa miaka tangia mkoloni atie mguu kwenye hili bara, lakini mpaka sasa hivi hakuna lolote, sijui ataelimika kipindi hicho ambacho amezidiwa?Waafrika waki elimishwa na kuwezeshwa, wanaweza kuzitumia rasilimali zao vizuri.
Angalia mambo in terms of global ecological footprint and global environmental footprint.
Mtu anaweza kutunza vizuri mazingira kwenye sehemu yake, huku wakati huo huo anachangia uharibifu wa mazingira kwenye sehemu nyingine. So ni vizuri kuangalia global footprint.
Magufuli anajua,si ndo anapita akiwaambia watu wafyatue watoto serikali yake ina pesa nyingi za kuwalisha na kuwasomesha bureTanzania yetu ni moja kati ya nchi zinazoongoza Duniani kwa ongezeko la watu, kwa mujibu wa statista mwaka 2100 nchi yetu itakuwa zaidi ya watu milioni 200 na moja kati ya nchi kubwa kwa idadi ya watu Duniani.
Najiuliza hao watu watakula nini? Wataishi wapi na kulala wapi? Duh, sipati, nitakuwa nimeshaenda hata hivyo, nyie fyatueni tuu, kazi kwenu ukichukulia IQ haiongezeki sijui mtatua vipi matatizo, Tanzania watu zaidi ya milioni 200? Duh!
View attachment 1301392
Magufuli ndo anawahamasisha mkuu na program za uzazi wa mpango amezipiga vita,so usiwaonee pleasehehee, bado vyanzo vya maji vinakuaka miti ya kukata mikaa nayo inaeisha muda si mrefu, bado ajira hakuna, wenye akili ndogo wanazaliana kwa kasi, hawajui hata kupanga kesho yao itakuwaje ila ndio wanazaliana kama sungura, mungu tuepushe na hli janga
Umeandika kwa hisia mkuu.Kati ya mambo ambayo yanahatarisha usalama wa maisha na dunia yenyewe ni ongezeko la watu.
Bahati mbaya sana, Afrika ndio wahanga wa ongezeko la watu.
Ukitazama kwenye hiyo chati, makadirio yaliyofanywa, kwa hakika ndivyo itakavyo kuwa kwa sababu ya mifumo ya maisha.
Kadiri dunia inavyosonga mbele, kama hakutakuwa na juhudi za makusudi kuthibiti ongezeko la watu kwa kubadilisha mfumo wa maisha, Afrika ndio itakuwa sehemu hatari zaidi kwa maisha ya binadamu, viumbe wengine na mazingira.
Hapa Tanzania kwa mfano, kama vile zilivyo nchi nyingene za Afrika, Asia na Latini Amerika kuna mfumo mbaya na hatari sana kuanzia kwenye familia mpaka kwenye jamii kuhusu ndoa, uzazi, malezi na uhai.
Kanisa ambalo kimsingi ndilo linajua ukweli wa jambo hili halifundishi ukweli huo.
Likiwa ndilo linawajibika kuweka mfumo wa maisha, Kanisa la Afrika kwa bahati mbaya bado, halijafanikiwa.
Kanisa la Afrika halijaweza kuwafundisha watu wake kwa ujumla suala la ndoa na uhai.
Serikali Afrika hata, licha ya kuwa na sera ya uzazi, lakini kwa kweli hakuna makusudi ya dhati katika kutekeleza sera hiyo.
Afrika suala la uzazi halizingatii kutunza uhai.
Wakati mwingine ukitazama kwa makini, Afrika uzazi hauwezi kuutofautisha na ule wa wanyama.
Tanzania kwa mfano, mtu anazaa na kuacha hapo. Utaona watu wanazaa pasipo uhakika wowote wa kumtunza anayezaliwa. Ajabu kweli!
Halafu serikali ndo inalaumiwa kwakuwa ndio inahamasisha 'washindia Mihogo' kuzaliana kwa kasi.Jitu linashindia mihogo halina hata future lakini limezaa watoto saba na linaendelea kufyatua!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili eneo kwa kweli ni tatizo kubwa sana!Ni kweli, yaani mfano kanda ya ziwa watoto wanafyatuliwa kama tofali na wengi hawana matunzo na afya
Mbona nafasi za kuishi zipo nyingi tu...
Hii nchi ni kubwa sana itaweza kubeba hata milioni 500
Sasa Nigeria watakuwa > milioni 700 dadadeki, sijui wataishije.
NI mpango wa Mungu wanadamu tuzaliane.hehee, bado vyanzo vya maji vinakuaka miti ya kukata mikaa nayo inaeisha muda si mrefu, bado ajira hakuna, wenye akili ndogo wanazaliana kwa kasi, hawajui hata kupanga kesho yao itakuwaje ila ndio wanazaliana kama sungura, mungu tuepushe na hli janga
Hakuna Mungu, kungekuwa na Mungu mzungu na muarabu wasingefanya babu zako watumwa kwa miaka 400 na Mungu asiwafanye kitu
Unatumika na mabeberu wewe, unapinga agizo la mwenyekiti.Swala siyo nafasi ya kuishi, swala ni kwamba wataishije? Watakula nini? Kazi watafanya wapi, wataishi wapi? Kumbuka watahitaji maji ya kunywa, umeme, nyumba kuishi, Dar ya leo tuko kwenye milioni 5 lkn inatushinda, hao milioni 250 wataishije?