Tanzania yetu kuwa na watu zaidi ya milioni 200, Mungu tuepushe na gharika!

Tanzania yetu kuwa na watu zaidi ya milioni 200, Mungu tuepushe na gharika!

Idadi kubwa ya watu ni mtaji muhimu sana kwa Taifa linalojitambua...!!
Kadri idadi ya watu inavyozidi kuwa kubwa ndivyo idadi ya akina jingalao inavyozidiwa na ma-think tanks na ma-great thinkers!
 
Idadi kubwa ya watu ni mtaji muhimu sana kwa Taifa linalojitambua...!!
Kadri idadi ya watu inavyozidi kuwa kubwa ndivyo idadi ya akina jingalao inavyozidiwa na ma-think tanks na ma-great thinkers!
Unahitaji hao ma"great thinkers uchwara" kama Milioni 10 hivi kumkabili Jingalao mmoja...
 
Hii inaweza kuwa ni scaremongering ya neo-malthusians.

Sidhani kama population itaongezeka kwa kiasi hicho.

Na kama ikiongezeka kwa kiasi hicho, kuna njia nzuri za kumanage resources sustainably kwa namna ambayo Tanzania itaweza kuwa tunza watu wengi hivyo.

Wazungu nao wako wengi, sema wametapakaa kwenye nchi mbalimbali. Na kwenye baadhi ya maeneo walihamia na kuwa replace wenyeji kama sehemu za North America, South America and Australia.

Ukijumlisha wazungu wa nchi zote za dunia (including warusi wazungu), utaona kwamba wazungu wanazidi 1 billion. Wanakaribia wachina.

Solution ni kufanya watu wawe na a high quality of life bila kudamage the environment, na bila kuongeza inequality. Kiasi kwamba binadamu ataonekana kuwa an asset and not a liability.
 
Kwa kweli hii hali inatisha sana. Yaani kwenye miaka ya 1960 watanzania walikua milion 9 sasa milion 55 yaani baada ya miaka 50 kuanzia sasa itakua zaidi ya milion 100 au 150.

Watu wengi wao wana zaa tu ni kwa sababu ya kutokua na elimu nzuri juu maisha na hawaoni huko tulikotoka wala tunako elekea. Hawaoni jinsi gani hali ya hewa inavyo badilika, wala hawaoni jinsi ardhi inavyokua finyu. Hawaoni wala hawafikirii jinsi misitu inavyo potea. Hawaoni jinsi wakulima na wenye mifugo wanavyo gombana kutokana na uhaba wa ardhi. Ardhi hata kama bado ipo hawafikirii huko miaka ijao itakuaje.

Wengine nao wana zaa sana kutokana na imani za kazini. Yaani Mungu kasema zaaeni yeye dio atakae toa rizqi. Lakini jamani Mungu pia amekupa akili na amekuambia itumie akili yako ipasavyo.

Ebu chukua mfano mzuri. Umeoa na maishi kwenye chumba kimmoja na pananitosha kabisa, mda si mrefu mmepata mtoto. Mara kaja mtoto wa pili, chumba kinaanza kua kidogo, mara mtoto wa 3 chumba kinazidi kua finyu. Bado unasema mungu asema tuendelee kuzaa na unatafuta mtoto wa mwingine. Bahati mbaya kile chumba hakitapanuka. Na dunia pia ndio hivyo, HAIPANUKI.

Sasa hatufikirii wakati huo umesha ondoka hapa duniani umewaacha watoto na wajukuu, hatufikirii hata kidogo hawa wajukuu watakuja kua na maisha gani... tunawapeleka wapi hawa wajukuu. Yeatunawapeleka kwenye maisha magumu sana, miasha ambayo kwenye nguvu pekee ndio atakaye survive. Sijui kama mliona huko india kilichotokea hivi karibuni. Hali ya hewa ilikua mbaya sana, ukungu wa moshi ulitapakaa kila mahala. Hadi kupumua ilikua shida. Kwasababu ya watu kua wengi na hilo kusababisha demand kua kubwa hatiame viwanda kila kona. Hatimae miti inakatwa na misitu kupungua.

Kwahiyo tujaribu kuangalia mbele. Tusizae kwa kubifurahisha sisi wenyewe, tuwafikirie hivyo viumbe tunavyo vileta hapa duniani.
 
z12f,
Hayo makadirio ni ya kweli kabisa..kwa sababu fikiria, mwaka 2012 tulikuwa milioni 44, mwaka 2019, miaka 7 tu baadae tupo karibia milioni 60.ongezeko la kariba watu milioni 16 ndani ya miaka 7 tu
Hii hali inaleta wasiwasi sababu Waafrika hatuwezi kutumia rasilimali zetu sustainably na efficiently kama wazungu unaowaesema

Mfano chukulia ukataji wa miti kwa ajili ya mkaa, miti inafyekwa kwa kasi sana na mti mmoja unachukua miaka hadi 70 hadi 100 huko ili kufikia size ya ukataji kwa ajili ya mkaa, kwa wazungu sasa hivi eneo la misitu linaongezeka sababu wanatumia rasilimali zao vizuri na pia ni wapandaji miti wazuri

Maji, vyanzo vingi vya maji vinakauka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa na pia ukataji miti wa spidi, huko kwa Wazungu hakuna tatizo kama hili sababu wao wanaweza ku process hata maji ya bahari na kuyafanya maji fresh
 
hehee, bado vyanzo vya maji vinakuaka miti ya kukata mikaa nayo inaeisha muda si mrefu, bado ajira hakuna, wenye akili ndogo wanazaliana kwa kasi, hawajui hata kupanga kesho yao itakuwaje ila ndio wanazaliana kama sungura, mungu tuepushe na hli jangaM
Walipoambiwa wafyatue hii ni nchi tajiri itawasomesha na kuwapa kila kitu, wakaongeza wake. Sasa hivi ukienda familia za wenzetu, kila mtu ana wake zaidi ya mmoja na ukihesabu watoto mhu! Saa nyingine dini zinasaidia ku control kuzaliana ila na sera vile vile. Zamani sheria zetu ilikuwa maximum watoto wanne ndo watahudumiwa sasa naona ruksa kuwa na mia. Sasa wale wa vihamba na bibanja watagawana mpaka wengine wakae juu ya miti. Mashamba yatajaa makaburi.
 
Watanzania wote wako hivyo wenye vyama na wasio na vyama, karibia kila house girl ana mtoto/watoto baba hajulikani au hana uwezo na wote hao ni Mabinti waliotakiwa kuwa Shuleni, angalia tu mtaani utaona kila siku wasichana wanajifungua ambao hawana hata uwezo wa kuwatunza watoto vijijini ndo usiseme.
Hilo la rais kusema population kubwa ni advantage kwa nchi i.e. nguvu kazi na masoko vinaongezeka amekuwa analirudia rudia sana. Ni kosa kubwa na nadharia yake ni potofu kabisa. Tangu binadamu anazaliwa mpaka ''aje awe nguvu kazi au soko kamili'' kuna costs ambazo ni za juu sana. Kwa kifupi kumtengeneza binaadam mpaka awe final product yenye manufaa ni kazi kubwa na ukishakuwa na population inayoongezeka kwa kasi ni almost impossible kumtayarisha binadamu. Hapa ndipo unakuta nchi inaingia kwenye disaster.
 
Walipoambiwa wafyatue hii ni nchi tajiri itawasomesha na kuwapa kila kitu, wakaongeza wake. Sasa hivi ukienda familia za wenzetu, kila mtu ana wake zaidi ya mmoja na ukihesabu watoto mhu! Saa nyingine dini zinasaidia ku control kuzaliana ila na sera vile vile. Zamani sheria zetu ilikuwa maximum watoto wanne ndo watahudumiwa sasa naona ruksa kuwa na mia. Sasa wale wa vihamba na bibanja watagawana mpaka wengine wakae juu ya miti. Mashamba yatajaa makaburi.
Kilimanjaro kwa vihamba kule kunabaki mahame mkuu, nyumba na mashamba mengi yamebaki bila mtu, familia nzima imehamia mjini, shule nyingi zina upungufu wa watoto, sijui huko mbele labda huku mjini kukijaa watarudi tena..
 
Hilo la rais kusema population kubwa ni advantage kwa nchi i.e. nguvu kazi na masoko vinaongezeka amekuwa analirudia rudia sana. Ni kosa kubwa na nadharia yake ni potofu kabisa. Tangu binadamu anazaliwa mpaka ''aje awe nguvu kazi au soko kamili'' kuna costs ambazo ni za juu sana. Kwa kifupi kumtengeneza binaadam mpaka awe final product yenye manufaa ni kazi kubwa na ukishakuwa na population inayoongezeka kwa kasi ni almost impossible kumtayarisha binadamu. Hapa ndipo unakuta nchi inaingia kwenye disaster.

Ujinga mkubwa sana aliongea, eti nguvu kazi na masoko,

Hivi ukiwa soko kubwa ni advantage kwako au advantage kwa wanaokuuzia bidhaa? Maana sisi tuna import almost 90% ya vitu tunavyotumia kila siku, sasa kuwa soko kubwa ni faida kwa Wachina na wazungu huko

Pia sasa hivi tuna nguvu kazi kubwa ambayo ipo under utilized, tuna wahandisi, madaktari,wachumi n.k lakini hawajaweza kutumika kutatua matatizo yetu, kama ukosefu wa maji, huduma za afya shida, rasilimali zetu wanavuna wawekezaji wa nje

Sijui akina Kikwete na Mkapa hawamuambii, maana suala la population kubwa Kikwete nilimsikia akilizungumzia kwa concern kubwa sana akijua hatari yake, Pia Mkapa kwenye kitabu chake kilichozinduliwa juzi alizungumzia kuwa ongezeko kubwa la watu bila brake ni tatizo kubwa.

Sasa wanamuona huyu mwenzao anaongea ujinga kwa nini hata wasimuite na kumshauri? Tena anasisitiza kila mara
 
Kilimanjaro kwa vihamba kule kunabaki mahame mkuu, nyumba na mashamba mengi yamebaki bila mtu, familia nzima imehamia mjini, shule nyingi zina upungufu wa watoto, sijui huko mbele labda huku mjini kukijaa watarudi tena..
Hata Bukoba vijijini hakuna watoto. We acha tu unakuta wazee na wajukuu wa wale waliotangulia mbele za haki otherwise labda wakati wa Noel ndo makanisa yanajaa. Ila kuna vijana wamo vijinini kazi yao kubwa ni ulabu basi.
 
Halafu watu huwa wanaongelea mafanikio ya Botswana au Namibia kiuchumi ila wanasahau wenzetu wako wachache Namibia na Botswana wote wana watu chini ya milioni 2 wakati nchi zao zina ukubwa karibia sawa na nchi yetu.
Binafsi naamini kama sasa hivi tungekuwa chini ya milioni 10 tungekuwa mbali sana kiubora wa maisha.

Bro visit your source again, the current stata shows that, both countries have a total population of ~ 5,000,000.
 
Kwa jinsi raia wanavyodondoka kwa ngoma, unaweza pata nusu ya population watakuwa wagonjwa
 
Mbona nafasi za kuishi zipo nyingi tu...
Hii nchi ni kubwa sana itaweza kubeba hata milioni 500
Hapa mswahili anawaza tu eneo la kujenga kibanda cha vyumba sita chenye korido, na eneo lingine la kuzikwa ndani ya mkeka. Kuwa mswahili raha sana, huna presha 😀😀😀
 
Watu wanaendelea kuelimika sidhani kama tutafika huko Those are just predictions if the current situation remain constant.
 
Back
Top Bottom