Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,312
- 8,754
Mkuu uchache wa watu ni ngumu kwa watu kupata mbinu za kuvumbua.Ndugu unaweza kufafanua hiki unachokisema!
Watu wakiwa wengi mwanzoni tatizo litaonekana but baadaye raia watachangamka na fursa wataziibua.