Dorin Kaaya
Member
- Sep 18, 2020
- 15
- 15
Wana Jf ,
Nimeangalia Tanzania na watanzania wanavyoishi kwa amani nikaamua nikuandikie wewe unae taka kuichezea amani ya nchi kuwa Tanzania ni ZAIDI ya vyama vya Siasa , Tanzania ilikuwepo kabla ya vyama vya Siasa kuwepo kimaanisha aridhi ya Tanzania na watu wake viliumbwa na muumba hapo zamani.
Fanya yafuatayo
1. Mkemee anaye taka kuvuruga amani.
2. Linda Amani ya nchi YETU
3. Jua Tanzania ni bora kuliko Siasa zinazoleta upotevu wa aman