Amani inanajisiwa kutokea kwenye mawazo ya watu , watu wanaona Bora tuvurugane kuliko , kutulizana na ndo maana nkawaambia Tanzania ni zaidi ya SIASA, ilium wa na watu wake kabla ya SIASA enzi za machifu akina MKWAWA , RUMANYIKA N.K Tanzania ilikuwepo na mpaka leo ipo sasa kwanini tuipoteze eti kiss siasa we need to think little bit more on peace of our countryAngesema wazi kbs nani anainajisi amani yetu embu angalia vyombo vya Dola ,Nec angalia na chama cha mchango na wagombea wao Halafu Mwangalie mbeba Maine rais adjaye kwenye mkutano yake
True , hata baada ya uchaguzi nawambuaga watu Mimi , hivi hata wakati hakuna mauchaguzi hayaHuu ni ujumbe muhimu sana kuelekea uchaguzi
O'bay,Mbuyuni,Muhimbili,Bunge,Forodhani mojawapo.Shule gani ??
Chief Kwanza unaonekana unahasira tofauti na mimi mi naiona Tz siyo hao unaowasema yaani sijui tunaishije kama hakuna amanHiyo kauli ya tunataka amani akaambiwe jiwe, asichafue amani ya nchi yetu sio mwananchi.
Rais gani mwenye hulka za uvunjifu wa amani tofauli na hilo limagu jinga, limeanza kutoa na vitisho kua kuna damu zitamwagika.
Unafikir ni nani anakwenda kushambuliwa na kwa kosa gani?
Ccm hawataki kuachia kiti cha urais wako ladhi watumie silaha kumtuliza mwananchi na wapinzani wao
🏃🏃Unakutana na pimbi kwenye mitandao inahamasisha fujo wakat hajawahi hata kuskia mlio wa risasi na usiku anakojoa kweny kopo anaogopa kutoka nje