Dorin Kaaya
Member
- Sep 18, 2020
- 15
- 15
Mbona ni ujumbe mzuri tu kwa mwanasiasa wa upande wowote?Umetumwa sio?
kuwa na aibu hata kidogo kabla haujaleta pumba zako hapa.
Angesema wazi kbs nani anainajisi amani yetu embu angalia vyombo vya Dola ,Nec angalia na chama cha mchango na wagombea wao Halafu Mwangalie mbeba Maine rais adjaye kwenye mkutano yakeMbona ni ujumbe mzuri tu kwa mwanasiasa wa upande wowote?
AsanteUmetumwa sio???
kuwa na aibu hata kidogo kabla haujaleta pumba zako hapa.
Hiyo kauli ya tunataka amani akaambiwe jiwe, asichafue amani ya nchi yetu sio mwananchi.Mbona ni ujumbe mzuri tu kwa mwanasiasa wa upande wowote?
Relax mkuu. Nenda kamwambie wewe usimlazimishe mtu mwingine akusemee.Hiyo kauli ya tunataka amani akaambiwe jiwe, asichafue amani ya nchi yetu sio mwanachi.
Rais gani mwenye hulka za uvunjifu wa amani tofauli na hilo limagu jinga, limeanza kutoa na vitisho kua kuna damu zitamwagika.
Unafikir ni nani anakwenda kushambuliwa na kwa kosa gani?
Ccm hawataki kuachia kiti cha urais wako ladhi watumie silaha kumtuliza mwananchi na wapinzani wao
Nimwambie mala ngapi?Relax mkuu. Nenda kamwambie wewe usimlazimishe mtu mwingine akusemee.
Dorin Kaaya hamna anayetaka kuchezea amani. Tunataka haki. Uonevu ukome katika hii nchi. Siyo wengine wanajiona wana haki ya kuwaonea wengine bila sababu. Ni hilo tu.Wana Jf , nimeangalia Tanzania na watanzania wanavyoishi kwa amani nikaamua nikuandikie wewe unae taka kuichezea amani ya nchi kuwa Tanzania ni ZAIDI ya vyama vya Siasa , Tanzania ilikuwepo kabla ya vyama vya Siasa kuwepo kimaanisha aridhi ya Tanzania na watu wake viliumbwa na muumba hapo zamani
Fanya yafuatayo
1. Mkemee anaye taka kuvuruga amani.
2. Linda Aman ya nchi YETU
3. Jua Tanzania ni bora kuliko Siasa zinazoleta upotevu wa aman
Sawa.Nimwambie mala ngapi?
Pogba anatapa tapa tu saivi, hadi analilia kwenda Barcelona, wakati kiwango chake finyu, mbovu france national team nzima ni yeyeSawa.
Nimetumwa na Nani unaona pumba hizo ni point , acha matusi jibu kwa hojaUmetumwa sio?
kuwa na aibu hata kidogo kabla haujaleta pumba zako hapa.
Shule gani ??Umenikumbusha shule ya msingi nikisoma na Dorin Kaaya.
Sisemi nabeza siasa ila siasa zisituletee kukosa raha na kuchukiana na kuuanaWe binti huwezi keeps siasa maana ndo maisha na maisha lazima tuyapiganie kwa hivi sana