Tanzania yetu ni zaidi ya vyama vya siasa

Angesema wazi kbs nani anainajisi amani yetu embu angalia vyombo vya Dola ,Nec angalia na chama cha mchango na wagombea wao Halafu Mwangalie mbeba Maine rais adjaye kwenye mkutano yake
Amani inanajisiwa kutokea kwenye mawazo ya watu , watu wanaona Bora tuvurugane kuliko , kutulizana na ndo maana nkawaambia Tanzania ni zaidi ya SIASA, ilium wa na watu wake kabla ya SIASA enzi za machifu akina MKWAWA , RUMANYIKA N.K Tanzania ilikuwepo na mpaka leo ipo sasa kwanini tuipoteze eti kiss siasa we need to think little bit more on peace of our country
 
Chief Kwanza unaonekana unahasira tofauti na mimi mi naiona Tz siyo hao unaowasema yaani sijui tunaishije kama hakuna aman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…