Hamuoni mwenzie Dkt. Gwajima D akileta hoja mnapambana naye kwa hoja? huyu akileta hoja anatoka nduki.Mwigulu ume panic, hao Tanzania Leaks mimi siwapuuzi kwasababu nikiunganisha dots zangu napata majibu hii serikali yenu inapumulia mashine.
Unaleta thread halafu unakimbia kuogopa maswali, kama unajiona uko busy usiwe unaleta thread JF kujisafisha kiuoga, kama unajiamini uko vizuri leta uzi usimame kuutetea uzi wako.
Huchezi na watoto hapa.
Kwani umekatazwa kuwa mbunge?We mzee kwanini nyie wabunge hamlipi kodi halafu mnataka sisi tulipe?
Kama unadhani Ulaya nchi zinaendelea kwa tozo na kodi basi wewe ni kilaza wa mwisho.Tozo na kodi ndio vinaendesha nchi.hata Ulaya wanalipa sana kodi na tozo kwa maendeleo yao.
Lakini mbona Hazina, mbona malipo mengi ikiwemo wakandarasi ya kuwa rejected?Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.
Lakini mbona malipo mengi yakiwemo ya wakandarasi kuanzia mwezi wa tano yamekuwa rejected?!Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.
Wao wanalipa ila kati ya mil 13 kinachokatiwa kodi ni 4m onlyWe mzee kwanini nyie wabunge hamlipi kodi halafu mnataka sisi tulipe?
Hon. Minister let all the allegations pass at the moment since I am ready to buy your most technically fabricated defense put foward that this is the second week of the new govt fiscal year.Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.
Hon. Minister let all the allegations pass at the moment since I am ready to buy your most technically fabricated defense put foward that this is the second week of the new govt fiscal year.
I still wonder why you failed to give us timeframe ya kumaliza hayo madeni unayosema madogodogo yanayotokana na internal operations za YAPI pamoja na hao wanaodai kwa maana ya Hazina waharakishe mahesabu ?
Hivi huoni hii ndio bankruptcy yenyewe? Kwamba hujui bankruptcy ni nini?
Huku kwetu marangu asubuhi tunachota maziwa bombani, na jioni tunakinga bia,nani kama baba?Huku kwetu mabomba ya maji yanatoa maziwa kila siku asubuhi mkuu...🤣
Tunampongeza sana mh waziri...😊
Mkwara au kweli shida nini.Uzi huu ukiwa unachangia uwe umeshaongea na mwanasheria wako
Hongera kwa kazi ndg;Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.
Hawa ndio aina ya viongozi vijana wanao tufaa mazee....😜Huku kwetu marangu asubuhi tunachota maziwa bombani, na jioni tunakinga bia,nani kama baba?
Kwamba unaona hatujui lolote tunasubiri ww ndio utupe taarifa za uongo? Serekali haina hela na ushahidi ni kutokulipa wafanyabiashara wengi wanaoidai serekali. Na sasa hivi hamna wa kuwakopesha maana mmefulia.Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.
Mheshimiwa ninyi mkimaliza muda wenu wa bunge miaka 5 mnapewa pesa zote. Kikokotoo sijui kama kinahusika! Wenzenu hawana akili za kutunza 100% ya malipo yao wakipewa?, ila ninyi ndo mnaweza kutunza pesa? Yaani aah.........sijui nielezeje inauma. Wapeni wastaafu pesa zao zote kama ninyi mnavyochukua naamini mnachukua zote! Nao Wana akili ni zao. Kama wanafanyia vya maana wafanye, wakiibiwa wakafa na presha ni zao, wakihonga zote ni zao, mnakaa nazo za nn? Ni zenu? Kuweni na huruma. Kila mtu afe na chake!!!!!Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.
Muheshimiwa, tatizo kuna ya nyuma serikali iliwahi kuyakana lakini ikaja onekana yaliyokanwa kumbe yalikuwepo kweli. Mfano;Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.