Mbona hamjalipa madeni ya wazabuni miezi 7 sasaPuuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.
Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia
Hivi kwanini wasihudumiwe na mifuko ya hifadhi za jamii kama raia wengine. Huenda na mifuko hiyo ikaheshimiwa na kutokuweka vikokotoo vya sagala sagala.Mafao Kwa viongozi wastaafu Rais, makamu wa Rais, mawaziri wakuu, majaji, na mafao ya wapenzi wao yapunguzwe au yaondolewe Kwa kiasi kikubwa
Wenzako walijipeleka hazina moja Kwa mojaHivi kwanini wasihudumiwe na mifuko ya hifadhi za jamii kama raia wengine. Huenda na mifuko hiyo ikaheshimiwa na kutokuweka vikokotoo vya sagala sagala.
Ndo maana na mifuko haiheshimiwiWenzako walijipeleka hazina moja Kwa moja
Comrade nchemba!Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.
Hapa kwenye dola sijui hata wanafanya nini...yale yale tu. Kwa nini base iwe dola?Mh Waziri ina maana hujuwi inflation ni bad indicator kwa uchumi?
Tumeanza mwezi wa saba bidhaa zipo juu hatari
Mafuta ndio usiseme vituo mafuta yakidebe
Mtaani kupo Doro... pesa hakuna n kama pesa hakuna maana yake nini?
Usd huna umeleta sheria yakutumia tshs while una calculator base on usd sasa hizo FX utapata wapi Black marker kama yote.
Nenda kwenye mabank ujionee
Mmetunga sheria ambazo mnaenda leta tatizo kwenye uchumi penalty za ajabu kweli. Sasa TRA watakusanya penalty au kodi ? God have a mercy on Us
Bora hata madilu kaja huku ila bashe akigusa humu naona siku hiyo atakimbia maana tuna maswali na huyo mwamba na sidhani km atakua na majibu.Ombi langu huyo jamaa ajichanganye aje humu🤣🤣🤣🤣Hivi ndivyo inavyotakiwa Waziri kuja kuzipangua Hoja jambo la Ajabu Waziri Bashe mbona haji humu kuzipangua hizi hoja za Mitandaoni kuwa anakula na Mama.
Kwa hiyo unasifu kuwa mmewasha mitambo ilihali bei ya umeme bado ipo juu Kwa watanzania, au ndo mmefocus kuuza nje instead ya Watanzania wafaidi Kodi yao wanayotoa, maana iwe pesa za ndani au mikopo still Watanzania ndo tunalipa madeni.Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.
Hata Raisi wetu Samia Suluhu Hassan ajiunge na JF sio kusoma tu awe anapangua Hoja zetu kuhusu mambo mbali mbali yanalolihusu hil Taifa letu.Bora hata madilu kaja huku ila bashe akigusa humu naona siku hiyo atakimbia maana tuna maswali na huyo mwamba na sidhani km atakua na majibu.Ombi langu huyo jamaa ajichanganye aje humu🤣🤣🤣🤣
Yule mama yetu yy apumzike waje wasaidizi wake tuwapige spana 🤣🤣Si unajua mama zetu hawa..vijana wakitia huruma mama anawasamehe acha waje vijana alio wapa dhamana 🤣🤣Hata Raisi wetu Samia Suluhu Hassan ajiunge na JF sio kusoma tu awe anapangua Hoja zetu kuhusu mambo mbali mbali yanalolihusu hil Taifa letu.
Mnaficha kitu ambacho kiko wazi kabisa ,wananchi sio wapumbavu kama mnavyofikiri .Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.
Alisema kama unaona bongo kugumu HAMIA BURUNDI huku anazunguka kwenye kitiHongera kwa kazi ndg;
Ila huku mtaani mbona hali ni tofauti?
Je, uchumi ni nadharia tu?
Au mwenzetu hauishi TZ?
Kingine;
I know how smart you are,mshauri Rais a minimize government expenditures.
Aaaah! Mh.Nawe huwa unaandika buanaPuuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).