Chatumkali
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,037
- 458
never happen!
Lulu uliambiwa mwanangu, asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu. Sasa ona utaishia jela kwa kuua bila kukusudia. Umejiharibia maisha yako maana mzimu wa Kanumba hautakuacha kamwe. Haya we!!! Uliyotaka umeyapata!!!!
Mkuu hata mimi huyu jamaa nimemshangaa sana alichokuwa anaongea...
Mkuu acha speculation. Funguka vema unachotaka kuandika watu wakusome vema:
- Movie aliyoichezea Nigera ipi na uimefanya nini? Devil Kingdom aliichezea Tanzania na Noah alishiriki.
- Movie yake ya Mwisho ni ay Kijiji cha tambua haki
- Afya yake ilikuwa na Mushkeli Mkubwa upi wakati kila siku watu wanamwona mitaani yuko fiti hata hiyo Movie yake ya Mwisho?
- Kama ni juu ya Ugomvi ndani ya Nyumba kulikuwa na Mdogo wake Kanumba pia. Ugomvi ule ulikuwa na Sauti na hata majirani walisikia sasa kipi ambacho watu watashindwa kuelewa?
- Na kanumba Amem-mock God kivipi? Movie ya Devil Kingdom alikuwa anajaribu kuonyesha kuwa utajiri wa shetani hauna upako. Hiyo ni mbaya?
- Mkuu, mtu kufa kwa kuanguka jambo la kawaida, hata wewe inatokea unaweza kukosa balance ukaanguka na kufa
- Tuache utani katika masuala ya vifo. Sijakufagilia kabisa na nakuona mtu wa ajabu sana katika hili. Si jadi yetu. Umenifanya nikuweke level ya chini sana. Wewe mwenyewe unajua utakufa kifo cha namna gani? Acha kubeza wakati taifa liko katika msiba!
Nikuwekee mabandiko yako hapa unayofuraiaga vifo vya watu wengine? ninashangazwa ni kipi kilichokugusa kwenye msiba wa Kanumba? Unafki ni kitu kibaya sana.Kwa sasa siyo wakati muafaka wa kulumbana, cha muhimu kama msiba haujakugusa unaweza kujikalia tu kimya.
namckia steve nyerere hapa klaudi tv. eti anasema mara ya mwisho wamekunywa pombe wote maisha klab. kwa iyo marehem alikuwa mlevi..!
RIP ong'wise Kanu
never happen!
Wandugu, watu kama akina Kanumba nchi nyingine huwapa VIP passport na huwa wanapewa mazishi ya Kitaifa, nchi zinazotambua mchango wa wasanii hawa katika kukuza jina la taifa husika katika nchi mbalimbali duniani na hata katika maendeleo ya nchi hasa katika kuelimisha nk
J e kanumba anastahili mazishi ya kitaifa?
Hivi wewe una akili sawasawa kweli? yani ulitaka Kanumba awe anakwenda kukata mauno kwenye mikutano ya CCM ndio ungemuona ana mchango kwa Taifa? Hivi hao kina Joti wako wameshawahi kupata Airtime DSTV au kutembelea Holywood?Tanzania hatuna wasanii wengi wa kujivunia!!! Sina uhakika sana na Kanumba na sioni msaada wake katika harakati za kulikomboa Taifa. Kama wengine wameishia kwenye kufunga ndoa na mafisadi huku wakijua fika wanatokea familia duni walizotelekeza.
Angekuwa mwanamziki mf. FD Q, Mw.FA, ..... au komediani kama Masanja, Joti,..... ungemwona kwenye kampeni za CCM anauza sura.
Nikuwekee mabandiko yako hapa unayofuraiaga vifo vya watu wengine? ninashangazwa ni kipi kilichokugusa kwenye msiba wa Kanumba? Unafki ni kitu kibaya sana.