Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead


tusipende sana kutoa hukumu kwani hatuna mamlaka hayo!!
 
Wajamen. Kumbuken msanii ni kioo cha jamii. Farisayo hutwisha w2 mizigo mizito ambayo wao hawaigusi ata kwa vidole! Tehteheeee
 
Peleka kwenye jukwaa jingine mkuu, hapa ni siasa!
 
Yaani that's th problem ya sisi waswahili tukija kupata hela.. Sasa ndio mambo gani yakuongelea hayo.. Hivi huyu mpumbavu ana akili kweli ?? Ndio maana tunaanmbiwa elimu ni muhimu sana.. ****en Premitive idiot!! Kuongelea pumba tu..
 
Kama unanituhumu kuwahukumu Alshaabab, Alqaeda, Boko haraam na WENYE KUWAUNGA MKONO kwa hakika niko tayari shutumu hadi kukuche wala sitabadilika kwasababu na wewe utakuwa mmoja wao kwa hakika.
NDUGU ACHA UDOGMATISM KTK VITU VYA MSINGI VINAVOHUSU MAISHA YAKO KAMA DINI,USIPENDE SANA KUHUBIRIWA KUHUSU DINI,CHUKUA VITABU VYA DINI UVISOME,SOMA BIBLIA UIJUE,NA USIPENDE KUSOMEWA
NAN KAKUAMBIA KUA KTK DINI YA UISLAM WATU KAMA ALSHABAAB,ALQAEDA,BOKO HARAM NA WENGNE WENGI WANARUHUSIWA KUFANYA IVO NA SHERIA ZA DINI HII??
Je hao MAKASISI MASHOGA,WALAWITI,WANAOFANYA MACHAFU NA WATAWA WA KIKE KILA SIKU WAMERUHISIWA?
Acha kuishi kwa propaganda,mwisho wa siku ukiondoka hapa ulimwenguni unaondoka pekeyako...!
 
hakika tv za bongo ni kama ugonjwa wa moyo!yaani wanashindwa kuonesha hata habri za kanumba kama wenzetu wanavyofanya huko kwao?kweli kina ruge na clouds wanahitaji pongzi kwa kuonesha mfano mzuri wa kuigwa.
 
Kimsingi tunajua kale kamchezo katamu! Tujadili maswala ya siasa sasa.
 
Huyu jamaa huenda anahusika na kifo cha Kanumba yani hajaonesha kusikitika kbs hata pale Muhimbili wkt wa kushusha mwili kwenye gari badala ya kusaidia alikuwa busy kupiga picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…