KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
i ddn kno kwamba huyu jamaa ni maarufu hv. nimecheck comments za wanaija..inaonesha kabisa wanamtambua! R.I.P STEVE
Duh....!Just take a second to imagine that in the scandle of Kanumba's death Wema plays as LuLu.How could Tanzania errupt if not xplode?
We uliyepost ndo mshamba na mbwiga.. Unatumia msiba wa kanumba RIP kudhalilisha wengne.. Hcho kpnd hata mi nimekitazama.. Hakuzungumza kwa mtazamo wako hafifu.. Ye alisema kwamba akifanya hk kama kununua lexus na kanumba hufanya and vice versa. Kwa hvyo alivyozungumzia kiwanja na mengne ilikuwa kutilia mkazo huja yake, kitu ambacho kila mtu hufanya. Kuwe na upeo mpana kidogo.Isingekuwa ni huu msiba wa Stephen Kanumba pengine nisingejua kiwango cha akili cha hawa wanaojiita ma 'star' wa Tanzania.
Leo asubuhi Clouds Tv walikuwa wanarusha live kipindi maalum cha mahojiano na watu waliokuwa wanamfahamu vizuri Kanumba.
Cha Ajabu Ray sijui ndiye Vincent Kigosi yeye kashikilia tu ubishoo tena wa kitoto uliogubikwa ushamba.
Wenzake wanaomboleza na kusikitika yeye kashupalia: " .... unajua niliponununua ile Lexus yangu, na Kanumba pia akanunua. Na baadae nikanunua Gari dogo naye akanunua, hivi sasa nina kiwanja Mbezi na utashangaa hata Kanumba alinunua pale jirani yangu kabisa ......................!"
Bongo Movie indeed
Weka maelezo, sio kupesti tu.
Kifo ni kwa kila mtu lakini umaarufu una gharama zake!! RIP
sasa umejuaje alikuwa anaumwa?
hata mimi nina radhi ya baba, so nijiandae kufaaaaaaaaaaa?Kifo cha msanii steven kanumba kimesababishwa na radhi ya baba yake mzazi
ni kweli kabisa kwani siku zilizopita kulikuwa na mabishano makali kati yake na baba yake,kanumba alimlaumu baba kwa kumtelekeza sasa anajisifia kuwa ana mtoto msanii mkali.baba alihuzunika sana.kwa hiyo vijana hata kama wazazi walikutesa ni muhimu kuwasamehe kuliko kukumbuka machungu na kulaumu.unataka kutuambia kifo chake kimesababishwa na mzazi wake. Lulu naye alipenda kifo kitokee? Kuwa makini na post yako mku, hujafa hujaumbika.dunia ni pana kuliko unavyochukulia
hata hawa wapo msibani kweli? au ndo ule usemi kwenye msiba kila mtu na lake...wengine huja kuthibitisha kama amekufa kweli?
hivi huyu mwenye njano hapo ni jinsia gani mbona haeleweki eleweki hivi?
Jamani hapa ni jukwaa la siasa kwa nini mambo kama haya usipost kule kwenye jukwaa la jamii?tuwe makini usipoteze mudi za watu kisiasa hayo mambo ya kijamii yana mahali pale,RIP KANUMBAR.I.P Kanumba ila umetuachia funzo kuwa wazazi ni MUNGU wa pili duniani ...LULU sasa kwako yametimia ni zamu ya dunia kukufunza walimwengu tulishatimiza wajibu wetu lakini hukutusikia
Mdogo wake amethibitisha kuwa kabla ya kifo alikuwa na Lulu, lakini amekanusha kuwa hakakuwa na ugomvi kati yake na Lulu.