Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Mmmh kwa umri wa huyu binti hata kama ni 18 kama naona, matatizo mengine kayatafuta bana!
 
i ddn kno kwamba huyu jamaa ni maarufu hv. nimecheck comments za wanaija..inaonesha kabisa wanamtambua! R.I.P STEVE

Wapopo wanalia, wanasema they need their Kanumba back!!:disapointed:

RIP mkuu Steven K.
 
Just take a second to imagine that in the scandle of Kanumba's death Wema plays as LuLu.How could Tanzania errupt if not xplode?
Duh....!
 

Attachments

  • KIVUMBI.jpg
    KIVUMBI.jpg
    89.9 KB · Views: 80
Isingekuwa ni huu msiba wa Stephen Kanumba pengine nisingejua kiwango cha akili cha hawa wanaojiita ma 'star' wa Tanzania.

Leo asubuhi Clouds Tv walikuwa wanarusha live kipindi maalum cha mahojiano na watu waliokuwa wanamfahamu vizuri Kanumba.

Cha Ajabu Ray sijui ndiye Vincent Kigosi yeye kashikilia tu ubishoo tena wa kitoto uliogubikwa ushamba.

Wenzake wanaomboleza na kusikitika yeye kashupalia: " .... unajua niliponununua ile Lexus yangu, na Kanumba pia akanunua. Na baadae nikanunua Gari dogo naye akanunua, hivi sasa nina kiwanja Mbezi na utashangaa hata Kanumba alinunua pale jirani yangu kabisa ......................!"

Bongo Movie indeed
We uliyepost ndo mshamba na mbwiga.. Unatumia msiba wa kanumba RIP kudhalilisha wengne.. Hcho kpnd hata mi nimekitazama.. Hakuzungumza kwa mtazamo wako hafifu.. Ye alisema kwamba akifanya hk kama kununua lexus na kanumba hufanya and vice versa. Kwa hvyo alivyozungumzia kiwanja na mengne ilikuwa kutilia mkazo huja yake, kitu ambacho kila mtu hufanya. Kuwe na upeo mpana kidogo.
 
unataka kutuambia kifo chake kimesababishwa na mzazi wake. Lulu naye alipenda kifo kitokee? Kuwa makini na post yako mku, hujafa hujaumbika.dunia ni pana kuliko unavyochukulia
ni kweli kabisa kwani siku zilizopita kulikuwa na mabishano makali kati yake na baba yake,kanumba alimlaumu baba kwa kumtelekeza sasa anajisifia kuwa ana mtoto msanii mkali.baba alihuzunika sana.kwa hiyo vijana hata kama wazazi walikutesa ni muhimu kuwasamehe kuliko kukumbuka machungu na kulaumu.
 
Hakuna tatizo kabisa kwenye hiyo kauli kama ulisikiliza kwa makini yale mahojiano.Point alikuwa anaongelea jinsi gani walivyokuwa na ushindani wa 'kuthubutu' kufanya jambo fulani kuanzia kwenye film hadi kwenye mambo yao binafs ya kimaendeleo ndo akatolea mfano wa kununua magari,viwanja,etc in short(wivu wa maendeleo) so mtoa mada msimchafue kihivyo
 
RIP Kanumba baba.

Hakika Bollywood imepoteza mtu muhimu. Kazi ya Mungu haina makosa.
Biblia inasema hivi katika KUTOKA 20:12; ''WAHESHIMU BABA YAKO NA MAMA YAKO ILI SIKU ZAKO ZA UHAI ZIWE NYINGI HAPA DUNIANI''

Kanumba nilimsikia kwenye runinga siku ile alipokieleza kuhusu masaibu yaliyompata wakti akiwa kijana mdogo kuwa mama yake wa kambo,mke mdogo wa baba yake alimtesa sana hata ikampelekea kumchukia Baba yake mzazi maana hakuwa akimjali Kanumba kabisa. Kwamba halipo alipokuwa amefikia ni Mama yake ndiye aliyetoa mchango mkubwa! Hili jambo hata mimi halikunifurahisha hata kidogo. Ieleweke kuwa MZAZI NI MZAZI TU whether akiwa mkorofi,mkali,kichaa,mchawi/kigagula,jambazi n.k. Unachotakiwa wewe kama mtoto ni RESPECT. God shall take care of the rest!!! Lakini ukianza kuchonga kuhusu Mzazi awe Baba au Mama,utakuwa unapingana na Mungu mwenyewe na hapo ujue kwamba UMEKWISHA!!!

Watu wajifunze.
 
Asije akawa amechukuliwa na freemason wenzie. kuna maswali mengi sana hapa
 
R.I.P Kanumba ila umetuachia funzo kuwa wazazi ni MUNGU wa pili duniani ...LULU sasa kwako yametimia ni zamu ya dunia kukufunza walimwengu tulishatimiza wajibu wetu lakini hukutusikia
Jamani hapa ni jukwaa la siasa kwa nini mambo kama haya usipost kule kwenye jukwaa la jamii?tuwe makini usipoteze mudi za watu kisiasa hayo mambo ya kijamii yana mahali pale,RIP KANUMBA
 
Back
Top Bottom