Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

May his Soul Rest in Peace....

The Great, he was an icon to many actors and he stood to be corrected
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi! Mapenzi yanaua....! Tujitahidi yasitupumbaze sana! Omba mungu upate mchumba/mke mwaminifu!
 
Lulu amewekwa ndani kuisaidia polisi,kwani inasemekana ndio aliomsukuma Kanumba na kupelekea kifo chake..

Pole Lulu!


Rest in Peace Kanumba!
 
ndio ninapoipendaga JF.

hii kauli ya mungu alimpenda zaidi sijui nyie mwaifikiriaje yaani mungu akikupenda zaidi unakufa

hiki kifo kuna maswali mengi ya kujiuliza

RIP SS SK
 
redio zetu hakuna coverage kabisa....kanumba was great bana.....tv ndio kabisa..tbc wanapiga mitaarabu yao......
 
Mi binafsi nimeshtushwa sn na kifo chake, lkn ndo hivo tn kazi yake Mungu haina makosa. Sote tupo safarini.
R. I. P Kanumba the greatest.
 
RIP Kanumba. hatukuwahi kusikia alikuwa mgonjwa siku za karibuni, je nani mwenye data chanzo cha kifo cha mpendwa wetu?



" huyu bwana kauwawa kwa kuchoma kisu, mida ya saa kumi hivi ameletwa hapa Hospitali ya Regency na amefia hapa due to bleeding na ndipo tukampeleka Muhimuli kuhifadhi mwili. Poleni washabiki wake
 
RIP Steve Kanumba. Nafsi zote zitaonja mauti isipokuwa wale tu watakatifu watakaonyakuliwa mawinguni wakiwa hai wakati Bwana atakaporejea tena. Binafsi nilikuwa namfagilia sana. Alikuwa ni Role Model kwa vijana wengi. Alikuwa Mbunifu, alikuwa na Kipaji.

Ni last week tu nilikuwa naangalia Movie yake ya Mwisho ya "Kijiji cha Tambua Haki" aliyoshirikiana na "Mke" wake Kajala. Hakuna Movie ya Kanumba ambayo sina. Si kuwa Bongo Movies inafanya vizuri sana katika ukanda wote wa afrika mashariki zaidi hata ya Kenya, bali pia ni jukumu letu kununua kazi zao kihalali ili kusaidia kuwainua.

Inasemekana Kamumba alikuwa ni wa 4 kwa Utajiri kati ya Wasanii na Wanamichezo nyuma ya Hasheem, Lady JD na Ray:

January 22, 2012 nilipost hii:

No. 4: Steven Kanumba

From being a normal person in Ngokolo-Shinyanga to become the most successful actor in Tzee film industry. Here's our fourth highest earner in 2011 ni Steven Charles Kanumba.

attachment.php


Tollywood heartthrob grossed more than TZS 280 million between November 2010 and November 2011 kupitia filamu za "Devil Kingdom': "Moses': "Offside': "Deception""Uncle JJ': and "Because of You" (all produced by his own film company), pamoja na endorsement deals kutoka Star times, Zantel and TSN Supermarket.

attachment.php


Kanumba who said to have a plan ya kugombea ubunge mwaka 2015 katika jimbo la Shinyanga mjini, kwa sasa tayari ameshawajengea nyumba wazazi wake, he has 3 plot in Dar, na ndani ya mwaka jana pekee "Young Billionaire" superstar ametumia zaidi ya million 100 kununua vifaa vya production for his film company, zikiwemo proffessional cameras,cranes, lights, monitors na usafiri.

The Great who's ex-flame of Wema Sepetu, just recently aliongeza idadi ya his classy rides baada ya kuvuta mkoko mpya aina ya Land cruiser V8 yenye thamani ya millioni 70 za kibongo.
 
Kachomwa kisu na aliletwa hapa regency mida ya saa kumi na akafariki hapa. Ndipo wakapeleka maiti MMC

bongo bana.....tutasikia mengi.......habari zilizopo za uhakika ni kuwa alikuwa na ugomvi na shori wake hapo kwake...na huyo demu kaja kujulikana ni lulu muigizaji mwenzie......the rest is a story.....
 
lala mahala pema peponi kanumba,ulikua mtafutaji wa riziki,ulikua unajituma katka ubunifu wa kazi yako,ulitangaza kazi yako hadi nje ya nchi na kuifanya bongomov kujulikana.watanzania tulikupenda na hata mataifa mengine walikupenda kama rwanda,burundi,nigeri na sehemu nyingine.kiukweli uliitendea kazi karama uliyopewa na mungu,lakini mwisho MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI,NA JINA LA BWANA LIBARIKIWE.
 
Kifo chake inasemekana alikuwa bafuni anaoga kujiandaa kutoka out na mpenz wake..

It's a mind blowing & an extraordinary sadness really, but no way we've to accept it no matter & in fact all of us we'll path the same way. By the way, the number one suspect (Lulu) should be comprehended. Ni kweli kabisa kuwa "...manake humjui saa wala siku..." RIP Steven Kanumba
 
Back
Top Bottom