Aysha kunda
New Member
- Apr 7, 2012
- 2
- 0
Rest in peace brother.in GOD we trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kila mtu anasema anachokijua sasa!Kachomwa kisu na aliletwa hapa regency mida ya saa kumi na akafariki hapa. Ndipo wakapeleka maiti MMC
RIP Kanumba. hatukuwahi kusikia alikuwa mgonjwa siku za karibuni, je nani mwenye data chanzo cha kifo cha mpendwa wetu?
Lulu amewekwa ndani kuisaidia polisi,kwani inasemekana ndio aliomsukuma Kanumba na kupelekea kifo chake..
Pole Lulu!
Rest in Peace Kanumba!
Kachomwa kisu na aliletwa hapa regency mida ya saa kumi na akafariki hapa. Ndipo wakapeleka maiti MMC
Wasimsahau na Ray aende kuisaidia polisi.
Kifo chake inasemekana alikuwa bafuni anaoga kujiandaa kutoka out na mpenz wake..