Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Katika hali ya kusikitisha Marehemu Kanumba alikuwa akipeperusha bendera ya Tanzania nchi za nje katika fani ya sanaa hususan uigizaji wa filamu. Cha kushangaza Serikali inashindwa hata kuweka ulinzi katika msiba huu kiasi cha watu kugombana. Hii imenisikitisha sana.
 
Kimtazamo wangu, the late Kanumba anastahili kabisa mazishi ya kitaifa. Licha ya mchango wake mkubwa katika sanaa ndani ya nchi, pia ni mwanasanaa mahiri aliyeiweka Tanzania pazuri kwenye ulimwengu wa sanaa kwa kutuunganisha na nchi mbalimbali kisanii. Amechangia sana kutangaza vema nchi yetu. Pia alitumika vizuri kwenye oxifarm projects katika kuelimisha ujitoshelezaji wa lishe (food security) Afrika.
 
Tumewazoea... Hata september 11 Osama alisema ........Allah akbar....Alshaabaab kule Somalia na Boko kule Nigeria wanachofanya mnafurahia pia. Mie huwa siwashangai sana kwani ndivyo mlivyo.....
Mi nneamua kubadilika na kuhamia kwa makafiri kwa sababu hizo hizo. Hawa watu ni sawa au pengine wamewazidi kidogo wale majini (roho wachafu).

Wewe una matatizo....inakuwaje maoni ya mtu binafsi unahukumu umma wote?! Wewe na huyo hamada hamna tofauti...wote mmejawa na chuki dhidi ya makundi fulani ya watu....ni kansa isiyohitajika kwenye jamii iliyostaarabika!
 
Lulu uliambiwa mwanangu, asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu. Sasa ona utaishia jela kwa kuua bila kukusudia. Umejiharibia maisha yako maana mzimu wa Kanumba hautakuacha kamwe. Haya we!!! Uliyotaka umeyapata!!!!

Ni kweli mkuu,hata sie wazazi wa nje tulisema sana na kumshauri binti amshike sana elimu akini wapi kwa kuwa kapewa bure nae hutoa bure,wahenga wanasema "kikuwapi cha kumpikia mgeni mwenyewe kulamba mwiko"huwa sikubaliani na anaejuta baada ya matatizo kutokea kwani watu ktk mitandao ya kijamii wamesema sana juu ya binti huyu hakusikia nadhani hicho ndicho alichokuwa akikitafuta,bado wema sepetu sasa atakae ingia ktk anga zake imekula kwake.
 
Hizi chini ni twitter za mwisho mwisho za kanumba na lulu......

kanu.jpg.jpg


Inavyoonekana hapo jamaa walikuwa wana date.....
 
Hellow wana jamiiforum, kumpoteza kanumba ni pigo kubwa!!!!!!!!:llama::llama:
 
Wandugu, watu kama akina Kanumba nchi nyingine huwapa VIP passport na huwa wanapewa mazishi ya Kitaifa, nchi zinazotambua mchango wa wasanii hawa katika kukuza jina la taifa husika katika nchi mbalimbali duniani na hata katika maendeleo ya nchi hasa katika kuelimisha nk

J e kanumba anastahili mazishi ya kitaifa?

Labda niulize mazishi ya kitaifa yakoje? Nini kinatofautisha mazishi na mazishi ya kitaifa?
 
Kwani ni mwanasiasa mwandamizi mwandamizi? Kwetu sisi wansihasa wandamizi ndio huwa wanapewa hiyo hata kama walikuwa wezi.
 
ukiangalia hizi tweet kanumba ali tweet mara kibao kwa lulu ila lulu hakuwa interested sana ku tweet back ali tweet mata mbili tu......

inaonekana kanumba alikuwa kafika kichizi kwa haka ka toto
Hizi chini ni twitter za mwisho mwisho za kanumba na lulu......

kanu.jpg.jpg


Inavyoonekana hapo jamaa walikuwa wana date.....
 
imekuwa mapema mno naona...!!

pumzika dogo...!
 
Dah inasikitisha sana...na wengine tujifunze maugomvi hayasaidii..sasa kwani angempatia hiyo simu akajionea mwenyewe yasingetokea yote haya. ndo shida za kuwa na wapenzi micharuko mpenzi aliyetulia ukimuomba simu yake atakupatia kiulaini tu
 
Nini chanzo cha kifo chake? Wengine ndo kwanza tunapata taarifa kwamba amefariki...

RIP K
 
Back
Top Bottom