Katika hali ya kusikitisha Marehemu Kanumba alikuwa akipeperusha bendera ya Tanzania nchi za nje katika fani ya sanaa hususan uigizaji wa filamu. Cha kushangaza Serikali inashindwa hata kuweka ulinzi katika msiba huu kiasi cha watu kugombana. Hii imenisikitisha sana.