Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tujipangeni maana kesho ni sisi haya yamepitaa yeye kashaenda kupumzika tujihoji sisi tumejipangaje? Naamini kila tukio huja kwa sababu fulani inaweza ikawa nzuri au mbaya, ni time yetu kujihoji na kuachana na mazishi ya kitaifa ambayo yanakupa ya dunia na wala si ya mungu. Kumbuka kesho ni easter ishara ya ukombozi wa kweli let's get prepared for the day.
 
Huyo aliyekuwa anampigia simu Lulu usiku akamatwe na polisi ahojiwe!
 
RIP My All Time Movie Superstar...
KANUMBA THE GREAT!
Wewe mbele sisi nyuma.
 
Wandugu, watu kama akina Kanumba nchi nyingine huwapa VIP passport na huwa wanapewa mazishi ya Kitaifa, nchi zinazotambua mchango wa wasanii hawa katika kukuza jina la taifa husika katika nchi mbalimbali duniani na hata katika maendeleo ya nchi hasa katika kuelimisha nk

J e kanumba anastahili mazishi ya kitaifa?

Usihofu, Hon Mr President will be there. Ni mazishi ya kitaifa tosha, siyo?
 
haka katoto kina kanumba haa ndo wamekafundisha uigizaji kakiwa katoto kabisa....wao ndo wamekuwa wakikamega ..na kingneni ni kwamba huyu mtoto alikuwa hajatulia hata kidogo....marehemu alipaswa kuwa na kifua kipana sana..hakukuwa na sababu ya kugombana wakati anajua huyu mtoto ni shakula ya wote

Labda mwenzetu ndo alikuwa kamzimia kafa na kaoza juu yake ndo maana ikamsababishia yote hayo
 
EATV wamesema Lulu alimwacha hai kanumba..................alipoondoka yule mdada pale kwa Kanumba........na hizo ni taarifa za mdogo wake mwenyewe Kanumba ambaye yasemekana alijirudia chumbani kwake ambako mara khali yake ilibadilika ghafla....................nionavyo tusubiri post-mortemm ripoti kabla ya kumzulia mtoto wa watu mambo mabaya....................ninafahamu usemi usema hujafa hujaumbuka unatusukuma wengi kuwa upande wa mwenda-zake
Dogo......unapotosha...mdogo wake kanumba kasema aliwaona sebuleni na then wakaamia chumbani na mara ukazuka ugomvi wa maneno ambayo alisikia ni kuhusu simu.....later on lulu akatoka na kumwambia seti kuwa kanumba kaanguka...ndio kwenda na kumpigia dr wake simu na kumkimbiza hospital....

...na kasema wakati wote huo lulu nae alikuwa kama kachanganyikiwa alikuwa anazunguka zunguka ndani.....alipelekwa hospital bila yeye lulu.....kuanzia hapo alikutana na lulu polisi......
 
huyu binti ametimiza miaka 18 mwaka jana october kama sikosei.....jamaa alikuwa anatafuna kwa uzuri kabisa

kama keshatimiza basi hukumu ya kifo inamhusu
 
tehe tehe with all respect jamaa alipokuwa anahojiwa na zamaradi alisema lulu ni kama mdogo wake kumbe jamaa alikua ana kula mzigo behind the scene...hata mm nakatamani haka kalulu....
 
Back
Top Bottom