Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Binadamu bwana! Ukiweka title ambayo wengi tungeweza kuelewa ina cost nini!
 
Mahojiano na mama mzazi wa Kanumba



hawa waandishi wa habari ni wakupiga vibao, muda kama huu ni mzito sana kwa familia ya kanumba hasa mama mzazi alafu hawa wapuuzi wanaenda kuinterview, waache familia iombeleze na Mungu awape nguvu ya kuvuka kipindi hiki kigumu. R.I.P Kanumba
 
Last edited by a moderator:
kaz ya Mungu haina makosa. Ya kanumba yamekwisha, si ustarabu kudadafua sababu au kuhukumu aliyeitwa mbele ya haki
 
Du! Sasa mshikaji alikuwa hajawa na familia ya damu yake sasa katutoka hii balaaaaa kwa sisi vijana tusiyo na familia, ila hamna noma mungu amependa zaidi.
 
Rip nguli wa filamu kijana kanumba.jamani mzazi ni muhimu hata uwe maarufu.pia tuwe makini na starehe za dunia tumkumbukeni mungu kila siku.
 
Mwigullu sijui ni ushamba kila wakati na skafu shingoni utadhani mtindo wa zamani wa uvaaji pekosi na raizoni.

18.jpg
 
The title of the thread is very insensitive. No one knows exactly happened between the two, to pass such judgement on such a cloudy issue and at this time is really unfair. She is assumed innocent until proven guilty. Keep in mind she as everyone else is mourning and with the added weight of allegations of murder. Some of the comments too are very cruel.
 
Ndugu, hiyo avatar yako kwani unaenda wapi? manake nimeiangalia nusu saa nasubiria ufike naona hola!

Marehemu ana dhambi,kwanini alikuwa na mtoto ambaye sio mke wake, alikuwa anasubiri nini kuoa?
 
Back
Top Bottom