Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Halafu kifo chenyewe kama hiki, si ajabu jana tu kapiga naye story, halafu baadaye anaambiwa amekufa. Bora uuguze aisee. Maana kwenye kuuguza huwa inafika wakati unamwomba Mungu ampumzishe lakini hii ya ghafla, sijui kama machozi yake huwa yanaisha.

What a tragedy death...a death that I fail to comprehend wht it has happened.
 
Prof Mtakyawa wa geology university of Dar na Bingu wa Mthalika wamekufa Leo! Ajabu msiba wa Kanumba umefunika hata msiba wa prof wa mawe

Wote rest in peace

Rt rev masa
Kumbe we kilaza unajua kuanzisha sredi?
 
habari zenu wanajamiiforum, poleni kwa msiba wa kuondokewa na Kanumba
 
mwennzetuu katutooka ,llakini tutasikiia magazeti yetu ambayo huandika sana maswala yaugoni nauzizinzi yatakavyo fanya kifocha kanumba kuwa mataji,wataandika hata uoongo ilwauze tumagazeti,hii inasikitisha sana ebu tujaribu kutoa taarifa sahihi kwa umailitusipotoshe jamii,.naandika haya kutokana nauzoefunilio nao kwa magazeti haya kwamfano kipindi alipo faliki amina chifupa ili chukua zaid ya mwaka wakiandika habari zachifvupambazo kimsingi hazikuwa na ukweli wowote .inasikitisha sana tujaribu kuwa wakweli ,naandika haya kwasababu hayapendezi , magazetiya jaribu kuandika makala zinzo jenga jamii sio fulani kashikwa ugoni na fulani hizo sio habari pekeake au fulani anatembea na fulani .nchi yetu ina matatizo mengi ambayo haya andikwi
basia andikeni hayo sio mapenzi na uzinzi tu kila siku
 
pole sana mama najua lilikuwa ni jembe lako muhimu sana najua inauma sana mama kwani unatamani hata ungesikia japo akusumbue kuwa mama naumwa nipe japo maji.tunakuombea kwa mungu akupe akupe falaja hasa hiki kipindi kigumu sana tupo nyuma yako mama
 
Halafu kifo chenyewe kama
hiki, si ajabu jana tu kapiga naye story, halafu baadaye anaambiwa
amekufa. Bora uuguze aisee. Maana kwenye kuuguza huwa inafika wakati
unamwomba Mungu ampumzishe lakini hii ya ghafla, sijui kama machozi yake
huwa yanaisha.

Ngumu sana kwa kweli. Pole mama. RIP Kanumba.
 
prof wa mawe ndio amefundisha hawa jamaa wa mambo ya nishati na madini wanaoiba rasilimali zetu?
 
Prof Mtakyawa wa geology university of Dar na Bingu wa Mthalika wamekufa Leo! Ajabu msiba wa Kanumba umefunika hata msiba wa prof wa mawe

Wote rest in peace

Rt rev masa

Baba mchungaji kume umestaafu?
 
Ungejua wanajiolojia wa Tanzania wanaomboleza parefu sana, usingeitoa hii habari kwa staili hii.

prof Muta was Great, ana atabaki akikumbukwa sana kwa mchango wake.

@Masanilo
naomba kama unaweza ku-edit heading iwe 'Prof Muta is no more'
nahisi watu wengi watasoma zaidi kuliko hii heading ya sasa.
Sredi za kanumba ziko nyingi mno leo.

Ni ombi tu
 
Mutharika ni mwanasiasa, wengi hawamfuatilii sana labda uwe unapenda kufuatilia siasa za kimataifa. Huyo profesa ni mtu mdogo sana, wanaomjua sana ni wanafunzi wake. IGP mstaafu naye, ni mtu mkubwa lakini kizazi cha sasa hawamjui labda sisi wakongwe.

Kanumba amejizolea sifa sana katika movie ndio maana wengi wanamlilia
 
pole sana mama mzazi,

Mungu akutie nguvu na imani kwamba yeye aliyekupa Steven, ndiye aliyeamua kumchukua

Steven apumzike kwa amani amina
 
CCM wanajipanga kutumia kifo cha kanumba kisiasa mama Pinda tayari ameenda msibani na gari la serikali likiwa na nembo ya waziri mkuu
 
Back
Top Bottom